Meneja Uendeshaji wa Mtwana Taste Food, Athuman Mtwana akiongea na wateja wakati wa uzinduzi wa restaurant hiyo mtaawa Sokoine jirani...
Meneja Uendeshaji wa Mtwana Taste Food, Athuman Mtwana akiongea na wateja wakati wa uzinduzi wa restaurant hiyo mtaawa Sokoine jirani na benki ya Baroda jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. |
Wahudumu wa Mtwana Taste Food, wakifurahia na wateja wakati wa uzinduzi wa restaurant hiyo mtaawa Sokoine jirani na benki ya Baroda jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. |
Wateja wakijihudumia wakati wa uzinduzi wa restaurant hiyo mtaawa Sokoine jirani na benki ya Baroda jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. |
Wateja wakipata mlo wa mchana wakati wa uzinduzi wa restaurant hiyo mtaa wa Sokoine jirani na benki ya Baroda jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. |
COMMENTS