KICHWA CHA TRENI CHAGONGWA NA LORI NA KUACHA NJIA YAKE, BARABARA YAFUNGWA KWA SAA 10

Injini ya treni (kichwa cha treni) kikiwa na lori kwenye barabara ya Kawawa Dar es Salaam baada ya kugongwa na lori hilo jirani na m...





Injini ya treni (kichwa cha treni) kikiwa na lori kwenye barabara ya Kawawa Dar es Salaam baada ya kugongwa na lori hilo jirani na machinga complex, Ijumaa Machi 27, 2015 saa 10;55 asubuhi. Dereva wa lori anasadikiwa kukimbia baada ya kusababisha ajali hiyo kutokana na mwendo kasi. Kazi ya kuondoa kichwa hicho kilichokuwa kikikokotwa na kingine wakati ajali ikitokea kilisababisha kipande cha barabara ya Kawawa inapokutana na ya Nyerere kutokea makutano ya Shaurimoyo ilifungwa na kusababisha usumbufu mkubwa.















Winchi ya Shirika la Reli Tanzania (TRL), likijiandaa kuondoka baada ya kukinyanyua kichwa hicho cha treni. (Imeandaliwa na Robert Okanda)






COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KICHWA CHA TRENI CHAGONGWA NA LORI NA KUACHA NJIA YAKE, BARABARA YAFUNGWA KWA SAA 10
KICHWA CHA TRENI CHAGONGWA NA LORI NA KUACHA NJIA YAKE, BARABARA YAFUNGWA KWA SAA 10
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjLfU5ISNsc36-BlYdSOqMDpcBZqsdzRC1KjDdamkU8TszgAroN1QvYI7zDen29PmUBaebUEaLdT2qtOSdL6nVKUwB3k-rkNoHVJlGGvuCbzwqA3ZttTDzJZ6FydV_oKytKscKxuIVR-xKF/s1600/n1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjLfU5ISNsc36-BlYdSOqMDpcBZqsdzRC1KjDdamkU8TszgAroN1QvYI7zDen29PmUBaebUEaLdT2qtOSdL6nVKUwB3k-rkNoHVJlGGvuCbzwqA3ZttTDzJZ6FydV_oKytKscKxuIVR-xKF/s72-c/n1.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/03/kichwa-cha-treni-chagongwa-na-lori-na.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/03/kichwa-cha-treni-chagongwa-na-lori-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy