PICHA NA TAARIFA MAALUM:MBUNIFU WA MAVAZI WA KIMATAIFA, SHERIA NGOWI AMVALISHA RAIS MPYA WA ZAMBIA

  Rais mpya wa Zambia, Edgar Lungu akiwa amevaa suti maalum  (Presidential suit) iliyobuniwa na Mbunifu wa mavazi wa Kimata...



 
Rais mpya wa
Zambia, Edgar Lungu akiwa amevaa suti maalum  (Presidential suit)
iliyobuniwa na Mbunifu wa mavazi wa Kimataifa kutoka Nchini Tanzania
Sheria Ngowi
akikagua gwaride rasmi kabla ya kuapishwa katika sherehe
za kuapishwa kwake jana asubuhi katika viwanja vya National Heroes, mjini
Lusaka-Zambia. Guy Scott, of Scottish 
 

Rais mpya wa
Zambia, Edgar Lungu akiwa amevaa suti maalum (Presidential
suit)iliyobuniwa na Mbunifu wa mavazi wa Kimataifa kutoka Nchini
Tanzania Sheria
Ngowi
akila kiapo cha kuwa Rais Mpya wa Zambia  katika
sherehe
za zilizofanyika  jana asubuhi katika viwanja vya National Heroes, mjini
Lusaka-Zambia, Guy Scott, of Scottish
 Rais mpya wa
Zambia, Edgar Lungu akiwa amevaa suti maalum (Presidential
suit)iliyobuniwa na Mbunifu wa mavazi wa Kimataifa kutoka Nchini
Tanzania Sheria
Ngowi
akitia saini Hati Maalum Muda mfupi baada ya
kuapishwa katika sherehe
za kuapishwa kwake jana asubuhi katika viwanja vya National Heroes, mjini
Lusaka-Zambia.
 
 Rais mpya wa
Zambia, Edgar Lungu akiwa
akipokea salaam Maalum Kutoka kwa Rais wa Mpito wa Zambia Guy Scotts
Muda mfupi baada ya   kuapishwa katika sherehe
za kuapishwa kwake jana asubuhi katika viwanja vya National Heroes, mjini
Lusaka-Zambia.
  Rais mpya
wa Zambia, Edgar Lungu akiwa akiwa na Mkewe Eshter Lungu  Muda
mfupi baada ya   kuapishwa katika sherehe
za kuapishwa kwake jana asubuhi katika viwanja vya National Heroes, mjini
Lusaka-Zambia.
-----
Na Mwandishi
Wetu

Mbunifu wa mavazi
wa kimataifa, Sheria Ngowi ameendelea
kuipeperusha bendera ya Tanzania kupitia kipaji chake cha ubunifu wa mavazi baada ya kumvalisha Rais mpya wa Zambia, Edgar Lungu katika sherehe
za kuapishwa kwake jana asubuhi katika viwanja vya National Heroes, mjini
Lusaka-Zambia.

Rais Lungu 58,
aling’arisha sherehe hizo baada
ya kuvaa suti rasmi (Presidential suit) rangi ya bluu, shati jeupe na tai nyekundu zilizobuniwa na Mbunifu wa mavazi wa kimataifa, Sheria Ngowi. Lungu aliambatana na mke wake, Eshter Lungu walipokuwa wanaingia
viwanjani hapo huku wakisindikizwa na ulinzi mkali.
Akizungumza baada
ya hafla hiyo, Sheria Ngowi alisema
amefurahi kupata nafasi ya kipekee ya kumvalisha Rais Lungu katika sherehe za kuapishwa kwake na kusema ni hatua kubwa katika kazi yake kama mbunifu
wa mavazi wa kimataifa.

“Hii ni hatua kubwa katika kazi yangu ya ubunifu
wa mavazi, namshukuru Mungu kwa kipaji alichonipa kinachoweza kunitambulisha na kunifanya niaminike hata kufikia hatua ya kuvuka mipaka ya Tanzania
na kumvalisha Rais mpya wa Zambia, Mheshimiwa Edgar Lungu”, alisema Ngowi.

Mbunifu Ngowi alisisitiza kuwa juhudi, nidhamu, bidii
na kumweka Mungu mbele ndio chachu ya mafanikio katika kila utendaji wa kazi zake akiwa na malengo ya kuipeleka kazi yake katika nyanja za kimataifa hata kutambulika katika sekta ya ubunifu wa mavazi duniani kote.
Hafla hiyoilihudhuriwa na aliyekuwa Rais wa muda
wa Zambia, Guy Scott na mke wake Charlotte, Mwenyekiti wa jumuiya ya maendeleo ya nchi za Kusini (SADC), Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe, baadhi ya viongozi wa juu wa Zambaia na nchi mbalimbali pamoja na wananchi wake.
Mbunifu huyo ameendelea kuonyesha na kudhihirisha
kuwa Tanzania ni nchi yenye vipaji vinavyoweza kuiletea nchi ya Tanzania sifa na kuinua uchumi wake katika sekta mbalimbali. Hii si mara ya kwanza kwa mbunifu huyo kukata mawingu kuitangaza nchi yetu, kwani ni miongoni
mwa wabunifu mashuhuri kutoka Afrika wanaopata fursa kuonyesha ubunifu wa mavazi yao katika maonyesho ya kimataifa kama vile New York Fashion Week nchini Marekani na Mercedes Benz fashion Week nchini Afrika
Kusini.
Hii ni changamoto pia kwa wabunifu wa Tanzania kuziwania fursa zilizopo na pia kuongeza juhudi ili kutangaza na kupeleka kazi zao katika soko la kimataifa kama vile Sheria Ngowi alivyofungua mlango.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: PICHA NA TAARIFA MAALUM:MBUNIFU WA MAVAZI WA KIMATAIFA, SHERIA NGOWI AMVALISHA RAIS MPYA WA ZAMBIA
PICHA NA TAARIFA MAALUM:MBUNIFU WA MAVAZI WA KIMATAIFA, SHERIA NGOWI AMVALISHA RAIS MPYA WA ZAMBIA
http://1.bp.blogspot.com/-OteRK22qrEc/VMWDJTRu9wI/AAAAAAADMX8/pHwUEXbREMo/s1600/10460875_837976706263765_5760763711612857469_o.jpg
http://1.bp.blogspot.com/-OteRK22qrEc/VMWDJTRu9wI/AAAAAAADMX8/pHwUEXbREMo/s72-c/10460875_837976706263765_5760763711612857469_o.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/01/picha-na-taarifa-maalummbunifu-wa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/01/picha-na-taarifa-maalummbunifu-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy