Mkuu wa chuo Kikuu Huria cha Tanzania, ambaye pia ni Waziri wa Sheria na Katiba, Dk Asha-Rose Migiro akimtunuku shahada ya uzamili ya us...
|
Mkuu wa chuo Kikuu Huria cha Tanzania, ambaye pia ni Waziri wa Sheria na Katiba, Dk Asha-Rose Migiro
akimtunuku shahada ya uzamili ya usimamizi wa miradi mke wa Waziri Mkuu Mama
Tunu Pinda katika mahafali ya 27 yaliyofanyika mjini DODOMA Janauri 24 2015.
Kushoto anayeshuhudia ni Makamu Mkuu wa chuo hicho, Prof Tolly Mbwete. |
|
Wanafamilia wakimvisha maua. |
|
Kikundi cha wake wa viongozi kutoka Dar es Salaam kikimpongeza mlezi wao
Mama Tunu Pinda kwakutunukiwa shahada ya uzamili ya usamamizi miradi ya
chuo kikuu huria Tanzania katika mahafali ya 27 iliyofanyika Mjini Dodoma
(kushoto) Mama Mashiba Mama Lukuvi, Mama Malima. (Picha na Chris Mfinanga)
|
COMMENTS