MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO WA BODI YA USAJILI WA MAKANDARASI NA MAONESHO KWA MWAKA 2014 DAR LEO. Maka...
MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO WA BODI YA USAJILI WA MAKANDARASI NA MAONESHO KWA MWAKA 2014 DAR LEO.
Makamu wa Rais Dkt Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakandarasi Nchini (CRB), Mhandisi, Consolata Ngimbwa baada ya kufungua rasmo mkutano huo katika ukumbi wa Diamond Jubilee leo.
Makamu
Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano wa Mashauriano wa Bodi ya
Usajili wa Makandarasi kwa mwaka 2014, uliofanyika kwenye Ukumbi wa
Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam leo mchana. Mbali na ufunguzi wa
mkutano huo pia Makamu, alishuhudia hafla ya kuapishwa kwa Wakandarasi.
Waziri
wa Wizra ya Ujenzi, Dkt. John Pombe Magufuli, akizungumza kabla ya
kumkaribisha Makamu wa Rais, Dkt. Bilal kufungua mkutano huo.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Joseph Nyamhanga, akipokea barua kutoka kwa Makamu wa Rais.
Washiriki wa mkutano huo wa Mashauriano wakimsikiliza Makamu wa Rais wakati akihutubia kufungua mkutano.
Washiriki wa mkutano huo wa Mashauriano wakimsikiliza Makamu wa Rais wakati akihutubia kufungua mkutano.
Washiriki wa mkutano huo wa Mashauriano wakimsikiliza Makamu wa Rais wakati akihutubia kufungua mkutano.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakandarasi Nchini (CRB), Mhandisi, Consolata Ngimbwa akila kiapo cha kuzingatia maadili ya kazi wakati wa mkutano huo. Wanaoshuhudia ni Makamu wa Rais, Dkt Bilal, Waziri wa Kazi, Dkt John Magufuli (kulia) na mahakimu wa Mahakama ya Kisutu. |
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akila pia kiapo mbele Makamu wa Rais , Dkt Mohamed Gharib Bilal Waziri wa Kazi, Dkt John Magufuli (wa pili (kulia) pamoja na viongozi wengine katika ufunguzi wa mkutano huo. |
Msajili wa Bodi ya Wakandarasi Nchini, Mhandisi Boniface Muhegi akila kiapo mbele ya Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Gharib Bilal, Waziri wa Ujenzi, Dkt John Magufuli na Mahakimu wa Mahakama ya Kisutu.
Wakandarasi (chini na juu) wakila kiapo mbele ya Makamu wa Rais, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, Waziri wa Ujenzi, Dkt John Magufuli na Mahakimu wa Mahakama ya Kisutu wakati wa mkutano huo. |
Wakandarasi
wakila kiapo mbele ya Makamu wa Rais wa
Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, Waziri wa Ujenzi, Dkt John
Magufuli na Mahakimu wa Mahakama ya Kisutu wakati wa mkutano huo.
Makamu
wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitoka kutembelea mabanda ya maonyesho katika mkutano huo kwenye
Viwanja vya Diamond Jubilee. (Picha na OMW)
COMMENTS