KAMPUNI YA JUBILEE WAMKABIDHI SPIKA MAKINDA KADI YA BIMA YA AFYA, WABUNGE WOTE KUPATIWA PIA KADI HIZO KWA AJILI YA MATIBABU

KAMPUNI YA JUBILEE WAMKABIDHI SPIKA MAKINDA KADI YA BIMA YA AFYA Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya Jubilee, George Alande a...

KAMPUNI YA JUBILEE WAMKABIDHI SPIKA MAKINDA KADI YA BIMA YA AFYA

Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya Jubilee, George Alande akimkabidhi Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda (kulia) jana, kadi maalum ya bima ya Afya atakayoitumia kwa ajili ya matibabu baada ya Ofisi ya Bunge kujiunga na kampuni ya Jubilee Insuarnce kwa ajili ya Bima ya matibabu ya Wabunge wote. Anaeshuhudia katikati ni Peter Nyabuti kutoka kampuni ya ushauri wa Bima ya Astra Insurance Brokers.
  Spika Anne Makinda akiwa katika picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya Jubilee, George Alande (kushoto), Peter Nyabuti kutoka kampuni ya ushauri wa Bima ya Astra Insurance Brokers (kulia) na Kitolina Kippa Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu kutoka Ofisi ya Bunge.
  Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya Jubilee, George Alande akimkabidhi Mhe. William Lukuvu kadi maalum ya Bima ya Afya atakayoitumia kwa ajili ya matibabu baada ya Ofisi ya Bunge kujiunga na kampuni ya Jubilee Insuarnce kwa ajili ya Bima ya matibabu ya Wabunge wote. Anaeshuhudia ni Peter Nyabuti kutoka kampuni ya ushauri wa Bima ya Astra Insurance Brokers.
Mhe Lukuvi akiteta jambo na wageni wake ofisini kwake baada ya kukabidhiwa kadi yake. Kulia ni  Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu wa Ofisi ya Bunge, Kitolina Kippa (Picha na Owen Mwandumbya)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KAMPUNI YA JUBILEE WAMKABIDHI SPIKA MAKINDA KADI YA BIMA YA AFYA, WABUNGE WOTE KUPATIWA PIA KADI HIZO KWA AJILI YA MATIBABU
KAMPUNI YA JUBILEE WAMKABIDHI SPIKA MAKINDA KADI YA BIMA YA AFYA, WABUNGE WOTE KUPATIWA PIA KADI HIZO KWA AJILI YA MATIBABU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiWo5ThTKGDOUYh8q-J6wwU_wjydrGxoh1ZXpXmapTwp1OL07H6JZgXCJEGHsvtb-icHdyhwKoDSlJdvgxN2JXuCzxygrWYIQ31BUQEtTF7OTDekmF32KZJC1uBQJouF5FfBMyXHqknR3Fl/s1600/A.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiWo5ThTKGDOUYh8q-J6wwU_wjydrGxoh1ZXpXmapTwp1OL07H6JZgXCJEGHsvtb-icHdyhwKoDSlJdvgxN2JXuCzxygrWYIQ31BUQEtTF7OTDekmF32KZJC1uBQJouF5FfBMyXHqknR3Fl/s72-c/A.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2014/04/kampuni-ya-jubilee-wamkabidhi-spika.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2014/04/kampuni-ya-jubilee-wamkabidhi-spika.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy