SAID BAHANUZI AWAPA ULAJI AL-AHLY AIONDOSHA YANGA MASHINDANONI KWA KUKOSA PENATI

SAID BAHANUZI AWAPA ULAJI AL-AHLY AIONDOSHA YANGA MASHINDANONI KWA KUKOSA PENATI AL-AHLY WALIVYOPONEA KWENYE TUNDU LA SINDANO KUI...

SAID BAHANUZI AWAPA ULAJI AL-AHLY AIONDOSHA YANGA MASHINDANONI KWA KUKOSA PENATI

AL-AHLY WALIVYOPONEA KWENYE TUNDU LA SINDANO KUITOA YANGA KWA PENATI 4-3


Mchezo wa raundi ya pili wa Klabu Bingwa Afrika kati ya Yanga dhidi ya wenyeji Al Ahly imemalizika usiku huu, huku 
Mabingwa hao wa Afrika wakitokea kwenye tundu la sindano baada ya kupata ushindi wa penati 4-3.

Katika dakika 90, Ahly walishinda kwa bao 1-0 lililofungwa katika dakika ya 70.



Katika mikwaju ya penati, Mabeki Mbuyu Twite na Oscar Joshua walikosa baada ya penalti zao kupanguliwa.

Kipa Deo Munishi aliswazisha makosa yao baada ya kupangua penalti 2.  Ilikuwa ni zamu ya Said Bahanuzi ambaye kama angefunga, basi Yanga ingefuzu.



Lakini mkwaju aliopiga ulitoka nje na baada ya hapo, Ahly wakamalizia penati moja na kufuzu kwenye hatua ya 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa Afrika. (Kwa hisani ya Salehjembe)

SAID BAHANUZI AWAPA ULAJI AL-AHLY AIONDOSHA YANGA MASHINDANONI KWA KUKOSA PENATI


Penati pekee iliyotoka nje ya milingoti mitatu iliyopigwa na Said Bahanuzi, iliwawezesha Al-Ahly kuendelea na mtindo wa penati moja moja baada ya wao kukosa penati mbili zilizochezwa na kipa wa yanga, Deogratius Munishi, huku Yanga wakitegemea matokeo ya wapigaji wao waliokuwa wamesalia, Oscar Joshua, aliyepiga na kupanguliwa na kipa na Said Bahanuzi aliyekuwa ndiye tegemeo la kuwanyanyua mashabiki wa Soka waliokuwa wamekti pembezoni mwa Tv zao na wengine wakisikiliza kupitia redioni.


Wapigaji wa Yanga walikuwa ni Nadir Haroub, Didier Kavumbagu, Emmanuel Okwi, ambao wote walipata. Wengine ni Oscar Joshua, aliyekosa baada ya kipa kuucheza na Said Bahanuzi, aliyetoa nje kabisa mpira huo. 

Al- Ahly wao walikosa penati ya 4 na ya 5, na baada ya mtindo wa kupigiana penati moja moja, wao walipata, Yanga wakakosa baada ya mpigaji wake Mbuyu Twite, kukosa penati ya kwanza katika mtindo ya penati moja moja.

Bao la Al-Ahly lilifungwa katika dakika ya 70, na kufanya mchezo huo kuwa sare ya bao 1-1, na hadi dakika 90 zinamalizika Al-Ahly 1 Yanga 0, lakini wakijivunia bao la nyumbani jambo ambalo liliamua mikwaju ya penati.

Shukrani za pekee na hongera zimfikie Kipa wa Yanga, Deo Munishi, aliyeweza kuokoa michomo miwili ya penati.
 

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SAID BAHANUZI AWAPA ULAJI AL-AHLY AIONDOSHA YANGA MASHINDANONI KWA KUKOSA PENATI
SAID BAHANUZI AWAPA ULAJI AL-AHLY AIONDOSHA YANGA MASHINDANONI KWA KUKOSA PENATI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhHzi8TEIwWMPogd1VSMQ1efvv2TgswaLQHJcw-6snhLkcB8z7QWVdGQ4BLZDA1qEyl5iWTW_IEtCo0uERoMCi4fzzes_tSv5RPV3da_X4I83cx2JzokqeTjdUhKERDLCKoavmgAt2mdTA/s1600/ngassa.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhHzi8TEIwWMPogd1VSMQ1efvv2TgswaLQHJcw-6snhLkcB8z7QWVdGQ4BLZDA1qEyl5iWTW_IEtCo0uERoMCi4fzzes_tSv5RPV3da_X4I83cx2JzokqeTjdUhKERDLCKoavmgAt2mdTA/s72-c/ngassa.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2014/03/said-bahanuzi-awapa-ulaji-al-ahly.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2014/03/said-bahanuzi-awapa-ulaji-al-ahly.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy