TIMU YA SIMBA ILIPOSHIKWA SHARUBU NA MTIBWA SUGAR UWANJA WA JAMHURI MORO JANA Kikosi cha Timu ya Simba Kilichoanza dhidi ya Mtibw...
TIMU YA SIMBA ILIPOSHIKWA SHARUBU NA MTIBWA SUGAR UWANJA WA JAMHURI MORO JANA
Kikosi
cha Timu ya Simba Kilichoanza dhidi ya Mtibwa Sugar jana na kulazimisha
sare ya bao 1-1. Mtibwa Sugar ndiyo walikuwa wa kwanza kuandika bao
katika dakika ya 18, na Simba walifanikiwa kusawazisha katika dakika ya
50.
Kikosi cha Timu ya Mtibwa.
Waamuzi wa Mchezo wa huo wakiwa na Manaodha wa Timu Zote Mbili.
Wachezaji wa Timu ya Mtibwa Sugar wakishangilia Goli lao lililofungwa na Musa Mgosi Katika Dakika ya 18 ya Mchezo.
Mshambuliaji wa Simba, Ramadhan Singano 'Messi' (kulia) akichuana kuwania mpira na beki wa Mtibwa Sugar, Said Mkopi, wakati wa mtanange huo.
Mshambuliaji wa Simba, Ramadhan Singano 'Messi' (kulia) akichuana kuwania mpira na beki wa Mtibwa Sugar, Said Mkopi, wakati wa mtanange huo.
Rashid Baba Ubaya (kulia) akimiliki mpira kutaka kujaribu kumtoka beki wa Mtibwa, Said Mkopi.
SIMBA:-
Amis
Tambwe, Amri Kiemba, Joseph Owino, Jonas Mkude, Musoti. Ramadhan
Singano, Awadhi, Haruna Chanongo, Ivo Mapunda, Rashid Baba Ubaya
naHaruna Shamte.
MTIBWA SUGAR:-
JumaLuizio,
Shaban Nditi, Hassan Ramadhan, Ally Shomary , Salim Mbonde, Jamal
Mnyate, Said Mkopi, Shaban Kisiga, Husein Sharif, Salvatory Mtebe na
Mussa Mgosi. (Kwa hisani ya Sufiani Muhidini)
COMMENTS