BILL GATES ASHIKA NAFASI YA KWANZA KWA UTAJIRI TENA DUNIANI

Bill Gates retakes World’s Richest title from Carlos Slim Bill Gates ndiyo tajiri namba moja tena duniani.   Tajiri huyo m...

Bill Gates retakes World’s Richest title from Carlos Slim


Bill Gates ndiyo tajiri namba moja tena duniani.
 
Tajiri huyo mwenye umri wa miaka 57 na Mwasis wa Redmond, Washington-based Microsoft Corp. (MSFT) amechukuwa nafasi hiyo baada ya kumpiku tajiri mwingine Raia wa Mexico na Mwekezaji mkubwa Carlos Slim. Kwa mujibu wa waraka wa mabilionea wa Bloomberg, utengenezaji wa programme za komputa umeongezeka kwa kiwango cha juu mara tano zaidi.  Ni kwa mara kwanza sasa Gates kuishikilia nafasi hiyo toka mwaka 2007. Utajiri wake kwa sasa unapindukia dola za Kimarekani Bilioni 72.7 zaidi kwa asilimia 16 dhidi ya Slim. Slim anayemiliki kampuni kubwa ya simu za mikononi ya Kimarekani inayitwa Movil (AMXL) SAB, imeshuka kwa asilimia 14 mwaka huu baada ya serikali ya Mexico kupitisha mswada bungeni ambao kwa kiasi umeathiri mapato ya kampuni yake.   
Kupitishwa kwa mswada huo kumesababisha dola za Kimarekani bilioni 3 kutopatikana kwa masoko ya kampuni hiyo kubwa ya simu za mkononi, kwa Tajiri Slim mwenye umri wa miaka 73 kwa mapato yake ya mwaka.
 
“When they’re talking about reform in a country that’s generally poor, and the guy shows up No. 1 on the list -- not a good thing,” said Greg Lesko, managing director at New York-based Deltec Asset Management LLC, which oversees $750 million and has an “underweight” position in Slim’s flagship company.
 “He’s had a pretty good monopoly situation in Mexico, and the Mexican cell phone user has been paying more than he should. We applaud it for the country.
Iliihitimisha sehemu ya taarifa hiyo.
 
 

BILL GATES MMAREKANI NA TAJIRI NAMBA MOJA DUNIANI

 



CARLOS SLIM MMEXICO ALIYEKUWA AKISHIKA NAFASI  TAJIRI WA NAMBA MOJA.
for more information cheki na Businesslink Tz

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: BILL GATES ASHIKA NAFASI YA KWANZA KWA UTAJIRI TENA DUNIANI
BILL GATES ASHIKA NAFASI YA KWANZA KWA UTAJIRI TENA DUNIANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh-7zdnSLBgaCGrOIUKSxp8V0fqNtQcgidHsaD-WnJubGOPfq9nh4n_DW38ZZCdLPXYHjcl_07s5Yd1WhFM-pmGJEBIvmtSean1095x28bVln_V1CP3_hFZ6c3vWIZfFwX0URyzm9O01RI8/s640/GA.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh-7zdnSLBgaCGrOIUKSxp8V0fqNtQcgidHsaD-WnJubGOPfq9nh4n_DW38ZZCdLPXYHjcl_07s5Yd1WhFM-pmGJEBIvmtSean1095x28bVln_V1CP3_hFZ6c3vWIZfFwX0URyzm9O01RI8/s72-c/GA.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2013/05/bil-gates-ashika-nafasi-ya-kwanza-kwa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2013/05/bil-gates-ashika-nafasi-ya-kwanza-kwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy