Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto) akionesha Ramani ya Ujenzi wa Mji wa ...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto) akionesha Ramani ya Ujenzi wa Mji wa kisasa utakaojengwa sambamba na ufukiaji wa Bahari ya Eneo la pwani ya Gulioni katika kikao cha siku moja kilichojumuisha Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Nyumba na Uongozi wa Shirika la Nyumba katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja Leo 01 /08/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto) akionesha Ramani ya Ujenzi wa Mji wa kisasa utakaojengwa sambamba na ufukiaji wa Bahari ya Eneo la pwani ya Gulioni katika kikao cha siku moja kilichojumuisha Uongozi wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Nyumba na Uongozi wa Shirika la Nyumba katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo, 01 /08/2017.
Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Nyumba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipofanya kikao cha siku moja pamoja na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo, 01 /08/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Nyumba na Uongozi wa Shirika la Nyumba katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo, 01 /08/2017.
COMMENTS