FREEMAN MBOWE NA HALIMA MDEE WAFIKISHWA MBELE YA KAMATI YA MAADILI YA BUNGE
HomeJamii

FREEMAN MBOWE NA HALIMA MDEE WAFIKISHWA MBELE YA KAMATI YA MAADILI YA BUNGE

Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, (KUB), na Mbunge wa Hai, (CHADEMA), Mhe. Freeman Mbowe, na Mbunge wa Kawe, (CHADEMA),...





Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, (KUB), na Mbunge wa Hai, (CHADEMA), Mhe. Freeman Mbowe, na Mbunge wa Kawe, (CHADEMA), Mhe. Halima Mdee kwa nyakati tofauti , leo Aprili 8, 2017 wamefikishwa mbele ya Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kufuatia amri ya Mhe. Spika wa Bunge Job Ndugai ya kuwataka wafike mbele ya kamati hiyo kujibu tuhuma zinazowakabili za kuingilia Haki, Uhuru na Madaraka ya Bunge kutokana na matashi yao. Pichani Mhe. Mbowe, akiingia kwenye chumba cha mahojiano. picha za chini, zinaonyesha Mhe. Mbowe na Mhe. Mdee wakiwa mbele ya Kamati kwa nyakati tofauti. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)






Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: FREEMAN MBOWE NA HALIMA MDEE WAFIKISHWA MBELE YA KAMATI YA MAADILI YA BUNGE
FREEMAN MBOWE NA HALIMA MDEE WAFIKISHWA MBELE YA KAMATI YA MAADILI YA BUNGE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgl6ubf_U82wSrkBInWcODP-o9IHejdtBDn7pUEvzFd52nkbFB5sGw9M-tacHtyNeyifFT2VgZx94Gg1upD-x6R1XdZSJLb6pVFUu57jQkKEg0MPHy501EOzpuVdM30sZ1VV1E9rPzxkzs/s640/_Y2A5326.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgl6ubf_U82wSrkBInWcODP-o9IHejdtBDn7pUEvzFd52nkbFB5sGw9M-tacHtyNeyifFT2VgZx94Gg1upD-x6R1XdZSJLb6pVFUu57jQkKEg0MPHy501EOzpuVdM30sZ1VV1E9rPzxkzs/s72-c/_Y2A5326.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/04/freeman-mbowe-na-halima-mdee-wafikishwa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/freeman-mbowe-na-halima-mdee-wafikishwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy