Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akionyesha majina mengine 97 ya wauza Dawa za Kulevya awamu ya tatu kwa Bw. Rogers Wi...
Mkuu
wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akionyesha majina mengine 97 ya
wauza Dawa za Kulevya awamu ya tatu kwa Bw. Rogers William Sianga
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya ili
yaanze kushughulikiwa. RC
Makonda amesema awamu hii itaitikisa nchi kwani wameanzia toka awamu ya
pili iliyoongozwa na Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi na kuendelea mpaka
awamu ya sasa ya Rais Dkt John Pombe Magufuli, , Katika mkutano
uliofanyika kwenye ukumbi wa Mwalimu Kimataifa wa Julius Nyerere (JNCC).
Mkuu
wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akikabidhi majina mengine 97 kwa
kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa
Bw. Rogers William Sianga, kuwa ili yaanze kushughulikiwa. RC
Makonda amesema awamu hii itaitikisa nchi kwani wameanzia toka awamu ya
pili iliyoongozwa na Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi na kuendelea mpaka
awamu ya sasa ya Rais Dkt John Pombe Magufuli.
Mkuu
wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akizungumza katika mkutano
huo, ambapo amekabidhi majina mengine 97 ya awamu ya tatu kwa Kamishna
Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya, Rogers
William sianga ili yaanze kushughulikiwa.
Mkuu
wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza jambo na Kamishna
Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini, Rogers
William Sianga katika mkutano maalum wa kutoa tathmini ya kampeni ya
kutokomeza biashara haramu ya madawa ya kulevya katika mkoa wa Dar es Salaam na nchi nzima kwa ujumla.
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya, Khaleed Mohammed almaarufu TID akitoa
ushuhuda wa namna alivyokuwa akitumia Dawa za kulevya,na sasa amekiri
hadharani kuacha kutumia na kuunga mkono juhudi za kupambana na Dawa za
kulevya.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Simon Sirro akizungumza wakati akitoa taarifa ya kampeni hiyo leo.
COMMENTS