MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI MAELEZO NA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI, DKT. HASSAN ABASS AJIUNGA NA PSPF
Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas, (kushoto), akikabidhiwa fomu ya uanachama wa Mfuko baada ya kufanya
taratibu za kuijaza fomu hiyo, Desemba 5, 2016.
HomeJamii

MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI MAELEZO NA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI, DKT. HASSAN ABASS AJIUNGA NA PSPF

Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas, (kushoto), akikabidhiwa fomu y...












Dkt. Abassa, akijaza fomu hiyo kwa usaidizi wa Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF, Bw. Abdul Njaidi.


 Dkt. Abass(kushoto), akiweka dole gumba kwenye fomu hiyo
 Dkt. Abass (kushoto), akwia amekamata fomu hiyo kabla ya kuijaza wakati Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF, Bw. Abdul Njaidi, akimpatia maelezo zaidi ya utaratibu wa kujaza fomu hiyo
 Dkt. Abbas, akiongozana na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF, Bw. Abdul Njaidi, kuelekea ofisini kwake tayari kujaza fomu hiyo
Dkt. Abassa, akizungumza na Mwenyekiti wa Mtandao wa Bloggers Tanzania, (TBN), Bw. Joachim Mushi, (wapili kulia) na Katibu wa TBN, Bi. Khadija Khalili (watatu kulia), na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF, Bw. Abdul Njaidi, muda mfupoi baada ya Dkt. Abbas, kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa TBN kwenye ukumbi wa Golden Jubilee Towers jijini Dar es Salaam, Desemba 5, 2016. PSPF ni mmoja wa wadhamini wa Mkutano huo.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI MAELEZO NA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI, DKT. HASSAN ABASS AJIUNGA NA PSPF
MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI MAELEZO NA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI, DKT. HASSAN ABASS AJIUNGA NA PSPF
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiaIWIRjFw_YhLT4uXsG50sr4GYwIGY3l-wdIk_sigy-l7XV1R9aHos11YksB6Q_hWbC2AzHamtJWlwC78izYXRdZ5PPaY1isLtuHH5yKFulUqsKYymrwQf5IM6iILbpdmsasIO6Ex24XY/s640/5R5A5664.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiaIWIRjFw_YhLT4uXsG50sr4GYwIGY3l-wdIk_sigy-l7XV1R9aHos11YksB6Q_hWbC2AzHamtJWlwC78izYXRdZ5PPaY1isLtuHH5yKFulUqsKYymrwQf5IM6iILbpdmsasIO6Ex24XY/s72-c/5R5A5664.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/12/mkurugenzi-wa-idara-ya-habari-maelezo.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/12/mkurugenzi-wa-idara-ya-habari-maelezo.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy