Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kenneth Kaunda jijini Lusaka mchana ta...
Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan
akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kenneth Kaunda jijini
Lusaka mchana tayari kumwakilisha Rais Dkt John Pombe Magufuli kwenye
sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Sita wa Zambia Mhe Lungu uwanja wa
Mashujaa kesho Septemba 14, 2016. (Picha na IKULU).
6
COMMENTS