RAIS MUSEVENI KUTAWALA UGANDA "MILELE" VIONGIOZI WA NRM WATAKA KATIBA IBADILISHWE KUONDOA UKOMO WA UMRI KUWANIA URAIS.

NA K-VIS MEDIA/MASHIRIKA YA HABARI RAIS wa Uganda Yoweri Museveni (71), huenda akawa rais wa “maisha” wa nchi hiy...





NA K-VIS MEDIA/MASHIRIKA YA HABARI
RAIS wa Uganda Yoweri Museveni (71), huenda akawa rais wa “maisha” wa nchi hiyo, endapo kipengele cha katiba ya nchi hiyo kinachoweka ukomo wa umri wa mika 75 kutoruhusiwa kuwania Urais, utaondolewa na bunge.
Tayari pilikapilika za kuondoa zuiohilo zimeanza ambapo kwa mujibu wa taarifa za vyombovya habari zinasema, Maafisa wa chama tawalanchini humo wamepitisha azimio la kuondoa ukomo wa umri kuwania Urais na hivyo Raios Museveni huenda akaweza kuwania tena kiti hicho mwaka 2021 ambapo atatimiza miaka 75 ambayo inachupia matakwa ya sasa ya Katiba ya Uganda yanayozuia mtu mwenye umri huo kuwania Urais.
Museveni ambaye amekuwa madarakani tangu mwaka1986, ni kiongozi mwenye umri mkubwa zaidi kwenye ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kwa sasa. Rais Museveni anajivunia kuifanya Ugandakuwa na amani tangu aingie madarakani tofauti na watangulizi wake ambapo marais wan chi hiyo walipinduliwa mara kwa mara.
Museveni pia aliingiamadarakani kwa kuipindua serikali.
Mkutano wa Chama tawala cha NRM wilayani Kyankwanzi umepitisha azimio hiloa mbapo Mwenyekiti wake Bi. Anne Maria Nankabirwa amesema, viongozi wa NRM huko Kyankwanzi wanataka ukomo wa umri uondolewe ili kuruhusu viongozi wenye uwezo kama Museveni kuendelea na uongozi.
Ofiri ya Rais Museveni imethibitisha maamuzi hayo Jumanne Agosti 2, 2016 katika taarifa yake kwa vyombo vya habari.
Wakati wa mkutano huo uliofanyika Ikulu ndogoya Kyankwanzi, viongozi hao wa NRM wa wilaya hiyo wamemwambia Rais Museveni kuwa wanataka ukomo wa umri kuwania urais uondolewe kwenye katiba ya nchi hiyo.
Hata hivyo Museveni aliwaambia viongozi hao kuwa atajadiliana na KamatiKuu ya chama cha NRM na uongozi wa NRM juu ya swala hilo.
Wachambuzi wa mambo wanasema, kama mabadiliko ya katiba yakifanyika na kupitishwa, na Rais Museveni kuwania tenaurais wan chi hiyo na kushinda mwaka 2021, atakuwa ametawala Uganda kwa kipindi cha miaka 40

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS MUSEVENI KUTAWALA UGANDA "MILELE" VIONGIOZI WA NRM WATAKA KATIBA IBADILISHWE KUONDOA UKOMO WA UMRI KUWANIA URAIS.
RAIS MUSEVENI KUTAWALA UGANDA "MILELE" VIONGIOZI WA NRM WATAKA KATIBA IBADILISHWE KUONDOA UKOMO WA UMRI KUWANIA URAIS.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgLlc_0fjxofdEs93r1DHT3LNoqO3BuZP29v2q4yKevNmLg641cbGWZMEGByLv-n-NNGVo3THyXr6lh-3T90wyr-Vh71rJXSIIM6Jq4EeWgoOTzihqG2ZKPW6chO5Cyj61RMw8cDZuC_LU/s640/m7.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgLlc_0fjxofdEs93r1DHT3LNoqO3BuZP29v2q4yKevNmLg641cbGWZMEGByLv-n-NNGVo3THyXr6lh-3T90wyr-Vh71rJXSIIM6Jq4EeWgoOTzihqG2ZKPW6chO5Cyj61RMw8cDZuC_LU/s72-c/m7.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/08/rais-museveni-kutawala-uganda-milele.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/08/rais-museveni-kutawala-uganda-milele.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy