THOMAS MASHALI KUZIPIGA NA MADA MAUGO NANE NANE UWANJA WA TAIFA

THOMAS MASHALI KUZIPIGA NA MADA MAUGO NANE NANE UWANJA WA TAIFA Rais wa TPBO Yassin Abdallah 'Ostadhi' akiw...

THOMAS MASHALI KUZIPIGA NA MADA MAUGO NANE NANE UWANJA WA TAIFA



Rais wa TPBO Yassin Abdallah 'Ostadhi' akiwainua mikono juu mabondia Mada Maugo kushoto na Thomas Mashali baada ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kupambana Sikukuu ya Nanenane (8/8/2014) katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam wakati wa tamasha la usiku wa matumaini lililoandaliwa na kampuni ya global publisher. 
Mabondia Mada Maugo na Thomas Mashali wakitunishiana misuli baada ya kusaini mkataba wa makubaliano ya kupambana Agost 8 katika uwanja wa taifa Dar es Salaam wakati wa tamasha la matumaini siku ya Sikukuu ya Nanenane lililoandaliwa na kampuni ya global publisher.



Rais wa TPBO Yassin Abdallah 'Ostadhi' kushoto akimkabidhi sehemu ya fedha kidogo bondia Mada Maugo  kwa ajili ya maandalizi ya mpambano wake na Thomas Mashali utakaofanyika  Agost 8 katika uwanja wa taifa Dar es Salaam wakati wa tamasha la matumaini siku ya Sikukuu ya Nanenane lililoandaliwa na kampuni ya global publisher. (Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: THOMAS MASHALI KUZIPIGA NA MADA MAUGO NANE NANE UWANJA WA TAIFA
THOMAS MASHALI KUZIPIGA NA MADA MAUGO NANE NANE UWANJA WA TAIFA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi8ZzlUZV9Id8y2itu9KamM_pMNteoWF0ChK4PrC6wRdOfAuuF-diUyToZJe1YfXfM4YJQrLwwnAt1O-9AUbIijlNrKf752tf7rwaEt63QR9S8Z4tsoe9RKvK2JBH5WvvsTQ8S5LQYgdEnd/s1600/IMG_0983.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi8ZzlUZV9Id8y2itu9KamM_pMNteoWF0ChK4PrC6wRdOfAuuF-diUyToZJe1YfXfM4YJQrLwwnAt1O-9AUbIijlNrKf752tf7rwaEt63QR9S8Z4tsoe9RKvK2JBH5WvvsTQ8S5LQYgdEnd/s72-c/IMG_0983.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2014/07/thomas-mashali-kuzipiga-na-mada-maugo.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2014/07/thomas-mashali-kuzipiga-na-mada-maugo.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy