MAKAMU WA RAIS SAMIA NA VIONGOZI MBALIMBALI WATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA ALHAJI ABOUD JUMBE MWINYI

 Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Aboud Jumbe likiwasili nyumbani kwa marehemu Migombani, Zanzibar  Watoto, Ndugu, jama...





 Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Aboud Jumbe likiwasili nyumbani kwa marehemu Migombani, Zanzibar
 Watoto, Ndugu, jamaa na Viongozi mbali mbali wakipokea mwili wa Marehemu Mzee Aboud Jumbe mara baada ya kuwasili nyumbani kwake Migombani, Zanzibar.
 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki dua maalum mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi ambaye alikuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano na Rais wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar  ,nyumbani kwa marehemu Migombani Zanzibar.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati)akishiriki dua maalum kwenye msiba wa Mzee Aboud Jumbe nyumbani kwa marehemu Migombani , Zanzibar wengine pichani ni Mke wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mama Mwanamema Shein (kushoto) kulia ni mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa
Safari ya kwenda msikitini kuswaliwa.








BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAKAMU WA RAIS SAMIA NA VIONGOZI MBALIMBALI WATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA ALHAJI ABOUD JUMBE MWINYI
MAKAMU WA RAIS SAMIA NA VIONGOZI MBALIMBALI WATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA ALHAJI ABOUD JUMBE MWINYI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjbub7-e4kB5mNimh35KHgN7K2e1pzmXifvnqrZJwgYKgrbB-wDZA-iQGasBeHgs6pxUSi1nqK6zoTNVGMYmM92dwdQi4hai4njdpsAnOJuAJNdT0_DWRNN1b6Rff_1eJxEhHM1uJ0a_YQ/s640/4.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjbub7-e4kB5mNimh35KHgN7K2e1pzmXifvnqrZJwgYKgrbB-wDZA-iQGasBeHgs6pxUSi1nqK6zoTNVGMYmM92dwdQi4hai4njdpsAnOJuAJNdT0_DWRNN1b6Rff_1eJxEhHM1uJ0a_YQ/s72-c/4.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/08/makamu-wa-rais-samia-na-viongozi.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/08/makamu-wa-rais-samia-na-viongozi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy