Ajali eneo la Mikese barabara kuu ya Morogoro-Chalinze ambapo magari mawili yamegongana kisha na kutumbukia mtaroni huku ya...
Ajali
eneo la Mikese barabara kuu ya Morogoro-Chalinze ambapo magari mawili
yamegongana kisha na kutumbukia mtaroni huku yakitekea kwa moto leo. Mtu mmoja anahofiwa
kufa na kuteketea kwa moto huo.
Moto ukiendelea kuteketeza magari hayo.
Kikosi
cha Jeshi la Zimamoto kilifika na kujaribu kuzima moto huo mkubwa ili
kuruhusu magari yaweze kupita na kuendelea na safari zao.
COMMENTS