Aliekua Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (kushoto) akiwa katika chumba cha Mahakama kabla ya kuanza kusikilizwa kesi hiyo...
Aliekua Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (kushoto) akiwa katika chumba cha Mahakama kabla ya kuanza kusikilizwa kesi hiyo ya Uchaguzi Mkuu wa 2015.
Wafuasi wa aliyekua Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu wakiwa katika chumba cha Mahakama Kuu ya Tanzania kabla ya kuanza kusikilizwa.
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abdallah Mtolea (kulia) akiteta jambo na Mwanasheria wa Serikali katika chumba cha Mahakama Kuu ya Tanzania mara baada ya kesi hiyo ya Uchaguzi Mkuu wa 2015, kuahirishwa.
Aliyekua Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (wa pili kulia) akitoka nje ya jengo la mahakama kuu ya Tanzania baada ya kesi hiyo ya kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2015.
Katibu mwenezi Kata ya Miburani Ally Kamtande akizungumza na wafuasi wa aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu baada ya kumalizika kesi ya kupinga matokeo ya Ubunge. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
COMMENTS