Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli akipokea barua kutoka kwa Jenarali Omar Embalo mjumbe M...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Dkt. John Magufuli akipokea barua kutoka kwa Jenarali Omar
Embalo mjumbe Maalum wa Rais wa Guinea Bissau, Jose Mario Vaz Ikulu jijini Dar
es Salaam leo Februari 25, 2016. Pamoja na mambo mengine, Rais wa Guine Bissau amempongeza Dkt. Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli akizungumza na Jenerali Omar
Embalo mjumbe Maalum wa Rais wa Guinea Bissau Jose Mario Vaz Ikulu jijini Dar
es Salaam Februari 25, 2016. Pamoja na mambo mengine Mjumbe huyo alileta salamu
za pongezi kutoka kwa Rais wa Guinea Bisau.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Dkt. John Magufuli akiagana na Jenerali Omar Embalo mjumbe
Maalum wa Rais wa Guinea Bissau Jose Mario Vaz Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Dkt. John Magufuli akizungumza na Rais mstaafu Benjamin
Mkapa Ikulu jijini Dar es Salaam, Februari 25, 2016. Mkutano huu
unakuja siku chache baada ya Rais kukutana na Rais mstaafu Jakaya Kikwete hapo
hapo Ikulu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu
Mhe. Benjamin Mkapa Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ikulu)
COMMENTS