Promota Juma Msangi (kushoto) akiwa na Rais wa oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO Yassin Abdallah 'Ostadhi' ...
Promota Juma Msangi (kushoto) akiwa na Rais wa oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO Yassin Abdallah 'Ostadhi' pamoja na Meneja msaidizi wa bondia Faransic Cheka wakitambulisha mpambano wa bondia huyo dhidi ya bondia wa Kimataifa, Geard Ajetovic mbele ya waandishi wa habari mpambano utakaofanyika Februari 27 katika viwanja vya leaders club. (Picha na SUPER D BOXING NEWS)
COMMENTS