DIAMOND TRUST BANK (DTB) YAFUTARISHA WATEJA WAKE ZENJ

Meneja wa Diamond Trust Benk (DTB)Tawi la Zanzibar, Othman Juhudi akizungumza na wateja wa benki hiyo na wananchi waliohudhuria hafla ...



Meneja wa Diamond Trust Benk (DTB)Tawi la Zanzibar, Othman Juhudi akizungumza na wateja wa benki hiyo na wananchi waliohudhuria hafla hiyo ya futari maalum walioandaliwa wateja wao katika viwanja vya hoteli ya Serena Shangani Zanzibar.


Mkuu wa Idara ya Masoko wa DTB Tanzania, Sylevester Bahati akitowa maelezo ya hafla hiyo ya futari katika viwanja vya hoteli ya Serena Shangani Zanzibar, kwa ajili ya wateja wa DTB Zanzibar hii ikiwa ni mara ya 6 kwa Benki hiyo kujumuika na wateja wao katika futari maalumu.
Mgeni rasmi na viongozi wengine na wananchi wakipata futari maalumu ilioandaliwa na DTB Tawi la Zanzibar kwa wateja wao kujumuika pamoja iliofanyika katika viwanja vya hoteli ya Serena Shangani Zanzibar.
Meneja wa Tawi la Benki ya DTB, Othman Juhudi na Mwenyekiti wa Bodi ya DTB Mahboob Shamsi. 














Mkuu wa Idara ya Masoko wa DTB Tanzania, Sylevester Bahati akitowa maelezo ya hafla hiyo ya futari katika viwanja vya hoteli ya Serena Shangani Zanzibar. kwa ajili ya Wateja wa DTB Zanzibar hii ikiwa ni mara ya 6 kwa Benki hiyo kujumuika na Wateja wao katika futari maalumu.

Mwenyekiti wa Bodi ya Diamond Trust, Mahboob Shamsi akitowa maelezo ya huduma za Benki yao kwa Wateja wao waliohudhuria hafla maalum ya futari waliowaandaa katika viwanja vya Hoteli ya Serena Shangani Zanzibar. 
Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe. Nassor Ahmeid Mazrui akizungumza wakati wa hafla ya futari ilioandaliwa na Benki ya Diamond Trust Tawi la Zanzibar kwa ajili ya wateja wake iliofanyika hoteli ya Serena Shangani Zanzibar.
Wananchi waliohudhuria hafla ya futari ilioandaliwa na DTB kwa Wateja wao wa Zanzibar wakimskiliza Mgeni Rasmin Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Mhe Nassor Mazrui akizungumza wakati wa hafla hiyo ya futari iliofanyika katika viwanja vya hoteli ya Serena Shangani Zanzibar.

Wananchi waliohudhuria hafla ya futari ilioandaliwa na DTB kwa Wateja wao wa Zanzibar wakimskiliza Mgeni Rasmin Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Mhe Nassor Mazrui akizungumza wakati wa hafla hiyo ya futari iliofanyika katika viwanja vya hoteli ya Serena Shangani Zanzibar.

Wananchi waliohudhuria hafla ya futari ilioandaliwa na DTB kwa Wateja wao wa Zanzibar wakimskiliza Mgeni Rasmin Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Mhe Nassor Mazrui akizungumza wakati wa hafla hiyo ya futari iliofanyika katika viwanja vya hoteli ya Serena Shangani Zanzibar.

Wananchi waliohudhuria hafla ya futari ilioandaliwa na DTB kwa Wateja wao wa Zanzibar wakimskiliza Mgeni Rasmin Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar, Mhe Nassor Mazrui akizungumza wakati wa hafla hiyo ya futari iliofanyika katika viwanja vya hoteli ya Serena Shangani Zanzibar.
Kadhi wa Wilaya ya Magharibi, Othman Ame Chum akisoma dua baada ya kumalizika hafla ya futari ilioandaliwa na DTB kwa Wataje wake Tawi la Zanzibar iliofanyika katika hoteli ya serena Zanzibar. 
Meza Kuu ikiongozwa na Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar, Mhe Nassor Mazrui akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Diamond Trust, Mahboob Shamsi wakijumuika na Wateja wa DTB wakiitikia dua ikisomwa na Kadhi wa Wilaya ya Magharibi Unguja Unguja Shekh. Othman Ame Chum.
Wananchi waliohudhuria hafla maalum ya futari ilioandaliwa na DTB kwa Wateja wake Zanzibar wakiitikia dua baada ya hafla hiyo

Wananchi waliohudhuria hafla maalum ya futari ilioandaliwa na DTB kwa Wateja wake Zanzibar wakiitikia dua baada ya hafla hiyo
Meneja wa DTB Tawi la Zanzibar akiwa na Mashekh wa Ofisi ya Kadhi Zanzibar baada ya hafla hiyo ya futari iliofanyika hoteli ya Serena Shangani Zanzibar. 
Meneja wa DTB Tawi la Zanzibar Othman Juhudi akiagana na Kadhi wa Wilaya ya Magharibi Unguja Shekh. Othma Ame Chum, baada ya kumalizika kwa huduma ya futari ilioandaliwa na Benki hiyo Zanzibar.
Wafanyakazi wa Benk ya DTB Tawa la Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wao baada ya kupata futari ilioandaliwa na Benki hiyo kwa ajili ya Wateja wake wa Zanzibar katika hoteli ya Serena Shangani Zanzibar.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: DIAMOND TRUST BANK (DTB) YAFUTARISHA WATEJA WAKE ZENJ
DIAMOND TRUST BANK (DTB) YAFUTARISHA WATEJA WAKE ZENJ
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj-lJ06R6WMf3bIhfdTO_Q2IO4llGunuC9EGLMaXRLEejon7rKJpUC9G2Z9JS262WKLqGXaVeIDB6x4-VlAWJ1ZodlppAW182OE48dfw14EEpf-5smzT-BjH6aGZsg1Z1GbYWC5IMt1rC08/s640/IMG_4103.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj-lJ06R6WMf3bIhfdTO_Q2IO4llGunuC9EGLMaXRLEejon7rKJpUC9G2Z9JS262WKLqGXaVeIDB6x4-VlAWJ1ZodlppAW182OE48dfw14EEpf-5smzT-BjH6aGZsg1Z1GbYWC5IMt1rC08/s72-c/IMG_4103.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2015/07/diamond-trust-bank-dtb-yafutarisha.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/07/diamond-trust-bank-dtb-yafutarisha.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy