RAIA WAPYA WA TANZANIA WASHANGILIA KUPEWA VYETI VYA URAIA, MAMA MJAMZITO AJIFUNGUA AKIWA KATIKA KITUO CHA KUPOKELEA VYETI

Kiongozi wa Ofisi ya Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Wakimbizi (UNHCR) katika Makazi ya Mishamo, Adolph Bishanga ak...





Kiongozi wa Ofisi ya Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Wakimbizi (UNHCR) katika Makazi ya Mishamo, Adolph Bishanga akimkabidhi chandarua na shuka raia mpya wa Tanzania, ambaye ni Mkazi wa Kijiji cha Kapemba, Kata ya Mishamo, wilayani Mpanda, Ageva Moses (kulia) baada ya kujifungua mtoto wa kiume wakati akiwa katika kituo cha kupokelea cheti cha uraia katika Kijiji cha Ifumbula wilayani humo. Licha ya maafisa wa Serikali pamoja na UNHCR kutoa maelekezo kuwa wagonjwa na wasiojiweza wote wakiwemo mama wajawazito kusubiria vyeti hivyo nyumbani watakapopelekewa lakini baadhi ya raia hao wapya wasiojiweza wanafurahia kuja wenyewe katika vituo vya kupokelea vyeti.
Mkuu wa Makazi ya Ulyakulu, Abdulkarim Mnacho (kushoto) akimpongeza raia mpya wa Tanzania, ambaye ni Mkazi wa Kijiji cha Kapemba, Kata ya Mishamo, wilayani Mpanda, Ageva Moses baada ya kujifungua mtoto wa kiume wakati akiwa katika kituo cha kupokelea cheti cha uraia katika Kijiji cha Ifumbula wilayani humo. Licha ya maafisa wa Serikali pamoja na Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Wakimbizi (UNHCR) kutoa maelekezo kuwa wagonjwa na wasiojiweza wote wakiwemo mama wajawazito kusubiria vyeti hivyo nyumbani watakapopelekewa lakini baadhi ya raia hao wapya wasiojiweza wanafurahia kuja wenyewe katika vituo vya kupokelea vyeti.
Raia mpya wa Tanzania, ambaye ni Mkazi wa Kijiji cha Kapemba, Kata ya Mishamo, wilayani Mpanda, Ageva Moses akiwa na mtoto wake mara baada ya kujifungua mtoto huyo wa kiume wakati akiwa katika kituo cha kupokelea cheti cha uraia katika Kijiji cha Ifumbula wilayani humo. Licha ya maafisa wa Serikali pamoja na Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Wakimbizi (UNHCR) kutoa maelekezo kuwa wagonjwa na wasiojiweza wote wakiwemo mama wajawazito kusubiria vyeti hivyo nyumbani watakapopelekewa lakini baadhi ya raia hao wapya wasiojiweza wanafurahia kuja wenyewe katika vituo vya kupokelea vyeti.
Raia wapya wa Tanzania, wakazi wa Kijiji cha Kapemba, Kata ya Mishamo, wilayani Mpanda, Shukuru Nzokila (kulia) na Anicet Yohanna wakishangilia baada ya kupokea vyeti vyao vya uraia wa Tanzania, katika Kijiji cha Ifumbula wilayani humo. Zaidi ya watu 152,572 katika Makazi ya Mishamo, Katumba na Ulyankulu waliokuwa wakimbizi wa Burundi wa mwaka 1972 walioomba uraia 2008 na kupewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mwaka 2010, wanastahili kupokea vyeti hivyo kama raia wapya wa Tanzania. Hata hivyo, Makazi ya Katumba na Ulyakulu tayari wamekamilisha zoezi la ugawaji wa vyeti hivyo, na sasa ni zamu ya raia wapya wa Makazi ya Mishamo kuwawiwa ambapo Serikali ya Tanzania inashirikiana na Shirika la Kimataifa la Kuwahudumia Wakimbizi (UNHCR) katika ugawaji wa vyeti hiyo.
Baadhi ya raia wapya wa Tanzania, wakazi wa Kijiji cha Kapemba, Kata ya Mishamo, wilayani Mpanda, wakionyesha vyeti vyao kwa furaha baada ya kupokea vyeti hivyo vya uraia, katika Kijiji cha Ifumbula wilayani humo. Zaidi ya watu 152,572 katika Makazi ya Mishamo, Katumba na Ulyankulu waliokuwa wakimbizi wa Burundi wa mwaka 1972 walioomba uraia 2008 na kupewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mwaka 2010, wanastahili kupokea vyeti hivyo kama raia wapya wa Tanzania. Hata hivyo, Makazi ya Katumba na Ulyakulu tayari wamekamilisha zoezi la ugawaji wa vyeti hivyo, na sasa ni zamu ya raia wapya wa Makazi ya Mishamo kuwawiwa ambapo Serikali ya Tanzania inashirikiana na Shirika la Kimataifa la Kuwahudumia Wakimbizi (UNHCR) katika ugawaji wa vyeti hiyo.
Afisa Uhakiki, Maharusi Nasibu (kushoto) akichukua alama ya vidole kwa raia mpya wa Tanzania, Mandaakiza Severin kabla ya kupewa cheti chake cha uraia katika ugawaji wa vyeti hivyo kwa raia wapya zaidi ya 52,565 katika Makazi ya Mishamo yaliyopo wilayani ya Mpanda Vijijini, Mkoa wa Katavi. Zaidi ya watu 152,572 katika Makazi ya Mishamo, Katumba na Ulyankulu waliokuwa wakimbizi wa Burundi wa mwaka 1972 walioomba uraia 2008 na kupewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mwaka 2010, wanastahili kupokea vyeti hivyo kama raia wapya wa Tanzania. Hata hivyo, Makazi ya Katumba na Ulyakulu tayari wamekamilisha zoezi la ugawaji wa vyeti hivyo, na sasa ni zamu ya raia wapya wa Makazi ya Mishamo kuwawiwa ambapo Serikali ya Tanzania inashirikiana na Shirika la Kimataifa la Kuwahudumia Wakimbizi (UNHCR) katika ugawaji wa vyeti hiyo. Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIA WAPYA WA TANZANIA WASHANGILIA KUPEWA VYETI VYA URAIA, MAMA MJAMZITO AJIFUNGUA AKIWA KATIKA KITUO CHA KUPOKELEA VYETI
RAIA WAPYA WA TANZANIA WASHANGILIA KUPEWA VYETI VYA URAIA, MAMA MJAMZITO AJIFUNGUA AKIWA KATIKA KITUO CHA KUPOKELEA VYETI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhL_EHA59xhPf47WbKrELdUbF1s2B-_9R1nwEmdR9kjaKfoJDUjKPAPw4rMMHy00CQdfA4JkMK2p64ENsv0K6Ee6Ie_GDiAU5-WudMpyuZfERX7asqhnDmN8LhQnTU5n8z7c7OFwQ9cEtqn/s1600/PIX+1..JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhL_EHA59xhPf47WbKrELdUbF1s2B-_9R1nwEmdR9kjaKfoJDUjKPAPw4rMMHy00CQdfA4JkMK2p64ENsv0K6Ee6Ie_GDiAU5-WudMpyuZfERX7asqhnDmN8LhQnTU5n8z7c7OFwQ9cEtqn/s72-c/PIX+1..JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2015/04/raia-wapya-wa-tanzania-washangilia.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/04/raia-wapya-wa-tanzania-washangilia.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy