ASKOFU MKUU MSAIDIZI BUKOBA, DK METHODIUS KILAINI AZUNGUMZA NA DAKTARI BINGWA WA SARATANI YA MATITI KUTOKA INDIA, PROFESA PAIS

ASKOFU MKUU MSAIDIZI WA JIMBO KATOLIKI MKOA WA BUKOBA, DK. METHODIUS KILAINI AZUNGUMZA NA DK BINGWA WA UGONJWA WA SARATANI YA MATITI KUTOKA ...

ASKOFU MKUU MSAIDIZI WA JIMBO KATOLIKI MKOA WA BUKOBA, DK. METHODIUS KILAINI AZUNGUMZA NA DK BINGWA WA UGONJWA WA SARATANI YA MATITI KUTOKA INDIA, PROFESA ATHONY PAIS KUHUSU MCHAKATO WA UJENZI WA KITUO CHA UCHUNGUZI WA SARATANI YA MATITI MKOANI HUMO

 Baba Askofu Dk. Method Kilaini akizungumza na 

daktari huyo na ujumbe wake (haupo pichani).
 Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea, James Rugemalira (wa tatu kushoto), akizungumza na baba Askofu Methodius Kilaini (wa pili kulia), wakati akimtambulisha Profesa Pais. Wengine kutoka kushoto ni Wakala wa Kampuni ya Mabibo Wines and Spirits Limited Mkoa wa Kagera, Rahym Kabyemela,  Wakili wa Kampuni ya Mabibo, Respicius Didace, Dk. Father Felix Kamugisha wa Hospitali ya Misheni ya Kagondo, Mkuu wa Utawala wa Hospitali ya Misheni ya Kagondo, Josue Joseph, Mkuu wa Masister wa Convent ya Rumuli, Rosemary Diocles, Mkuu wa Shirika la Masister wa Mtakatifu Theresia wa Mtoto wa Yesu Jimbo Katoliki Bukoba, Sister Pudentiana Kirungo, Profesa Pais na Dk.Fred Limbanga. Profesa Pais yupo nchini kwa mualiko wa James Rugemalira.
Hapa Kikao kinaendelea.
Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea, James Rugemalira (katikati) akizungumza na baba Askofu Method Kilaini. Kulia ni Mkuu wa Shirika la Masister wa Mtakatifu Theresia wa Mtoto wa Yesu Jimbo Katoliki Bukoba, Pudentiana Kirungo na Profesa Pais.
Masister wa shirika hilo wakiwa kwenye mkutano huo. Kulia ni Sister Rosemary Diocles na Pudentiana Kirungo.
Mkuu wa Shirika la Masister wa Mtakatifu Theresia wa Mtoto wa Yesu Jimbo Katoliki Bukoba, Sister Pudentiana Kirungo (katikati), akizungumza katika mkutano huo uliofanyika Hoteli ya Kelping mkoani humo. Kulia ni Mkuu wa Convent ya Rumuli, Sister Rosemary Diocles na Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea James Rugemalira.
Profesa Pais (wa tatu kulia), akizungumza katika mkutano huo kuhusu ugonjwa wa saratani ya matiti na jinsi ya kukabiliana nao.
Madereva wa msafara huo wakiwa kwenye mkutano huo. Kushoto ni Khalid na Hassan Matunga.
Dk. Father, Felix Kamugisha wa Hospitali ya Misheni ya Kagondo, akijitambulisha katika mkutano huo.
Mkuu wa Utawala wa Hospitali ya Misheni ya Kagondo, Josue Joseph, akijitambulisha katika mkutano huo. (Imeandaliwa na mtandao wa habari za jamii.com-simu namba 0786858550)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: ASKOFU MKUU MSAIDIZI BUKOBA, DK METHODIUS KILAINI AZUNGUMZA NA DAKTARI BINGWA WA SARATANI YA MATITI KUTOKA INDIA, PROFESA PAIS
ASKOFU MKUU MSAIDIZI BUKOBA, DK METHODIUS KILAINI AZUNGUMZA NA DAKTARI BINGWA WA SARATANI YA MATITI KUTOKA INDIA, PROFESA PAIS
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhy-3NwekILbmCGTX0hgzOKwPJAUFFt5qPEvMEr0x_46gnfOxclV1VZ3TvTZUV14rGxi-gKUF4aYJdacOsJA-2mr1QyCAJY4SJ2acvmlUDCz4DKjr2okkHWd99vtwc0CAO286bPdMBaTov3/s1600/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhy-3NwekILbmCGTX0hgzOKwPJAUFFt5qPEvMEr0x_46gnfOxclV1VZ3TvTZUV14rGxi-gKUF4aYJdacOsJA-2mr1QyCAJY4SJ2acvmlUDCz4DKjr2okkHWd99vtwc0CAO286bPdMBaTov3/s72-c/1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2014/09/askofu-mkuu-msaidizi-bukoba-dk.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2014/09/askofu-mkuu-msaidizi-bukoba-dk.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy