PINDA AFUNGUA MAONYESHO YA NANE NANE MKOANI MBEYA

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AFUNGUA MAONYESHO YA NANE NANE MBEYA. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akibeba boga kutoka kijiji cha Laela mk...



WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AFUNGUA MAONYESHO YA NANE NANE MBEYA.


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akibeba boga kutoka kijiji cha Laela mkoani Rukwa katika maonyesho ya Nane nane alipofungua maonesho hayo, katika uwanja wa maonyesho ya wakulima wa John Mwakangale mjini Mbeya Agosti 2, 2014. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Rukwa, Mhandisi Stella Manyanya na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mary Nagu (kushoto).

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kitazama mkungu wa ndizi ulioletwa katika maonyesho ya nane nane Mbeya na Bosco Luambano (kulia) wa Kijiji cha Hanga wilayani Namtumbo katika maonyesho kwenye viwanja vya John Mwakangale Agosti 2, 2014.



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama mhogo kutoka kijiji cha Itunya Wilayani Mpanda katika maonyesho ya nane nane aliyoyafungua kwenye viwanja vya John Mwakangale Mkoani Mbeya Agosti 2, 2014.


Wakulima kutoka kijiji cha  Itunya, Kata ya Kapalamsenga, Tarafa ya Karema wilayani Mpanda wakiwa wamebeba shina la mhogo kutoka shamba moja kijijini kwao katika maonyesho ya wakulima Nane nane yaliyofunguliwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda  kwenye viwanja vya John Mwakangale Mbeya Agosti 2, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



 









 

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: PINDA AFUNGUA MAONYESHO YA NANE NANE MKOANI MBEYA
PINDA AFUNGUA MAONYESHO YA NANE NANE MKOANI MBEYA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhx8RAmjhXoFUrDU5mVHTP0J2JE5jmgbvE_8_YmJn1UTPLkwhiyCCgPKv-vrRdVnjJ-SzZRmkebmLSLW4pxPwYkU1N_CUgqyqG7DxpQR7PGC26UA_OLpQlnukQ2BWpOhILtv-KeP9Hz2JA/s1600/PG4A8358.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhx8RAmjhXoFUrDU5mVHTP0J2JE5jmgbvE_8_YmJn1UTPLkwhiyCCgPKv-vrRdVnjJ-SzZRmkebmLSLW4pxPwYkU1N_CUgqyqG7DxpQR7PGC26UA_OLpQlnukQ2BWpOhILtv-KeP9Hz2JA/s72-c/PG4A8358.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2014/08/pinda-afungua-maonyesho-ya-nane-nane.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2014/08/pinda-afungua-maonyesho-ya-nane-nane.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy