PICHA ZA MATUKIO YA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO, WANAJESHI WATIA FORA Rais Jaka...
PICHA ZA MATUKIO YA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO, WANAJESHI WATIA FORA
Rais Jakaya Kikwete, akikagua gwaride...
Paredi la askari....likiwa ni tofauti na ilivyozoeleka...
Moshi wa rangi...
Ndege za kijeshi zikipita kwa speed ya ajabu...
Askari wa Jeshi akishuka kwa Parachuti....
Askari wa Miamvuli wakishuka kutoka umbali wa Futi 4000.....
Watoto wa Halaiki...
Wasanii
wa miziki tofauti tofauti 50, walioshirikiana kuimba wimbo maalum wa
miaka 50 ya Muungano wa Tanzania, wakitoa burudani wakati wa sherehe
hizo. (Imeandaliwa na Sufiani Muhidini)
![]() |
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Zanzibar Dkt. Mohamed Ali Shein wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya muungano. |
![]() |
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Mfalme Mswati III katika sherehe za miaka 50 ya Muungano zilizofanyika katika viwanja vya Uhuru. |
![]() |
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Yoweri Kaguta Museveni katika sherehe za miaka 50 ya Muungano. |
![]() |
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi katika maadhimisho ya hsrehe za miaka 50 ya Muungano. |
![]() |
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Uhuru Kenyatta katika sherehe za miaka 50 ya Muungano. |
COMMENTS