RWANDA AIR YATOA SEMINA KWA MAWAKALA WA MASHIRIKA NDEGE

RWANDA AIR YATOA SEMINA KWA MAWAKALA WA MASHIRIKA NDEGE Meneja wa Rwanda Air, Kanda ya Kusini, Hafeez Balogun akitoa mada wakati wa se...

RWANDA AIR YATOA SEMINA KWA MAWAKALA WA MASHIRIKA NDEGE


Meneja wa Rwanda Air, Kanda ya Kusini, Hafeez Balogun akitoa mada wakati wa semina kwa ajili ya mawakala wa mashirika ya ndege iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.

DSC_0143

Meneja Mauzo wa Rwanda Air, Dhruv Parmar akitoa mada wakati wa semina kwa ajili ya mawakala wa mashirika ya ndege iliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Washiriki wa semina hiyo.
Maofisa wa Air Rwanda wakiwa wamepozi kwa picha.

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Five Star Tours, Harry Pietersen (kulia), akimkabidhi cheti, mshauri wa kampuni ya uwakala wa ndege ya Safeline Osbert Barongo baada ya kushika nafasi ya tatu kwa kutoa huduma bora wakati semina iliyoandaliwa na Rwanda Air kwa ajili ya mawakala wake jijini Dar es Salaam. Katikati ni Meneja wa Rwanda Air Kanda ya Kusini, Hafeez Balogun.




COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RWANDA AIR YATOA SEMINA KWA MAWAKALA WA MASHIRIKA NDEGE
RWANDA AIR YATOA SEMINA KWA MAWAKALA WA MASHIRIKA NDEGE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiZuL0H2-H930-iQ60zVy90beRKtF3M1NVq0wojgzSm5LFK5FBIUmfpdJobHlQuMVnacvSePaWX9Y-5ZQtWopoAuWcpfLz80imrxp4ON-zEahvwOT9mOpCbeYqSYcG-j3Iy-HTNVxzozwA/s1600/Pix-4.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiZuL0H2-H930-iQ60zVy90beRKtF3M1NVq0wojgzSm5LFK5FBIUmfpdJobHlQuMVnacvSePaWX9Y-5ZQtWopoAuWcpfLz80imrxp4ON-zEahvwOT9mOpCbeYqSYcG-j3Iy-HTNVxzozwA/s72-c/Pix-4.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2014/02/rwanda-air-yatoa-semina-kwa-mawakala-wa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2014/02/rwanda-air-yatoa-semina-kwa-mawakala-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy