MAKAMU WA RAIS DK BILAL AJUMUIKA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU KUUPOKEA MWAKA MPYA WA KIISLAMU 1435 HIJRIYYA, JIJINI DAR Ma...
MAKAMU WA RAIS DK BILAL AJUMUIKA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU KUUPOKEA MWAKA MPYA WA KIISLAMU 1435 HIJRIYYA, JIJINI DAR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia katika hafla ya sherehe za kuukaribisha mwakama mpya wa
Kiislamu 1435 Hijriyya, zilizofanyikwa kwenye Ukumbi wa Karimjee, jijini
Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Tanzania, Dk Mohammed Gharib Bilal,
akiwasili kwenye ukumbi wa Karimjee jijini, Novemba 10,
2013 kuhudhuria hafla ya kuupokea mwaka mpya wa Kiislamu
1435 Hijriyya.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Istiqaama Tanzania,
wakati alipowasili kwa hafla hiyo. Mwenye kanzu nyeusi ni Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es
Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum.
Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu,waliohudhuria hafla ya kuupokea mwaka
mpya wa Kiislamu 1435 Hijriyya.
Baadhi viongo pia waumini wa dini ya Kiislamu, waliohudhuria hafla ya kuupokea
mwaka mpya wa Kiislamu 1435 Hijriyya katika ukumbi huo
Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais Dk Mohammed Gharib Bilal,
akiwaongoza baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Istiqaama, kuomba dua.
Makamu
wa Rais wa Dk Mohammed Gharib Bilal,
akiteta jambo na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa
Salum, wakati wa hafla ya kuupokea mwaka mpya wa Kiislamu 1435 Hijriyya.
Sheikh
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, akizungumza kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais, Dk Bilal, kuhutubia.
Makamu
wa Rais Dk Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi zawadi Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa
Salum, kwa kutambua mchango wake katika kufanikisha hafla ya hiyo.
Picha ya pamoja ya kumbukumbu baada ya hafla hiyo. (Picha na PMO)
COMMENTS