NEWS ALERT!! AGNESS MWINGINE ABAMBWA NA UNGA JNIA AKIWA TAYARI KUKWEA PIPA KUELEKEA UTURUKI AGNESS AKIWA NA MAJONZI Abiria anayetambu...
NEWS ALERT!! AGNESS MWINGINE ABAMBWA NA UNGA JNIA AKIWA TAYARI KUKWEA PIPA KUELEKEA UTURUKI
Abiria anayetambulika kwa jina la AGNESS GERALD MUSSA (42) mwenye hati ya kusafiria (Passport) namba AB 624446 Raia wa Tanzania amekamatwa na madawa yanayosadikiwa kuwa ya kulevya, yenye uzito wa kilogramu 1.2 katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Machi 31, 2014 akisafiri kuelekea Uturuki na ndege ya Shirika la ndege la uturuki yenye nambari TK 604.
Kwa sasa abiria huyo anashikiliwa na kuendelea na mahojiano zaidi kuhusiana na tuhuma zinazomkabili.
AGNESS AKIWA NA MAJONZI |
Abiria anayetambulika kwa jina la AGNESS GERALD MUSSA (42) mwenye hati ya kusafiria (Passport) namba AB 624446 Raia wa Tanzania amekamatwa na madawa yanayosadikiwa kuwa ya kulevya, yenye uzito wa kilogramu 1.2 katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Machi 31, 2014 akisafiri kuelekea Uturuki na ndege ya Shirika la ndege la uturuki yenye nambari TK 604.
Bagi la mkononi aliloshikwa nalo Agness Mussa ndani mkiwa na madawa ya kulevya. |
AGNESS AKIJUTIA BAADA YA KUNASWA |
AGNESS AKIWA NA MAJONZI |
Madawa hayo baada ya kukamatwa nayo mtuhumiwa huyo. |
![]() |
Kivuli cha hati ya kusafiria ya Agness Mussa |
COMMENTS