Kivuko cha zamani kilichokuwa kikitumiwa na wananchi wa Ngara kuvuka mto Rusumo Kivuko cha zamani kilichokuwa kikitumiwa na wan...
Kivuko cha
zamani kilichokuwa kikitumiwa na wananchi wa Ngara kuvuka mto Rusumo
|
Kivuko cha
zamani kilichokuwa kikitumiwa na wananchi wa Ngara kuvuka mto Rusumo
|
Kivuko cha MV Ruvuvu baada ya kuzinduliwa na Rais Jakaya Kikwete. |
Rais Kikwete
akihutubia umati Ngara.
|
Wananchi wakimshangilia Rais Kikwete aliposimama kwa muda kuwasalimia wilayani Karagwe akielekea Rusumo kuzindua kivuko cha Ruvuvu. |
Wananchi wakimshangilia Rais Kikwete baada ya kuzindua kivuko cha MV Ruvuvu. |
Wananchi wakimshangilia Rais Kikwete baada ya kuzindua kivuko cha MV Ruvuvu |
Wananchi wakimshangilia wakifurahia na Rais Kikwete baada ya kuzindua kivuko cha MV Ruvuvu |
Rais Kikwete akipiga picha ya kumbukumbu na wananchi wa Ngara baada ya kuzindua kivuko cha MV Ruvuvu katika mto Rusumo Jumamosi Julai 27, 2013 |
Rais Kikwete
akishiriki kupiga ngoma na kikundi cha utamaduni cha Ngara wakati wa uzinduzi
wa kivuko cha MV Ruvuvu katika mto Rusumo wilayani Ngara.
|
Rais Kikwete akisimikwa kuwa chifu wa Wahaya na kukakabidhiwa mgolole na silaha za jadi za Wahaya katika sherehe ya kuzindua wilaya mpya ya Kyerwa. |
Umati uliojitokeza katika sherehe za uzinduzi wa wilaya mpya ya Kyerwa |
Umati uliojitokeza
katika sherehe za uzinduzi wa wilaya mpya ya Kyerwa.
|
COMMENTS