AMIRI Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili ya maadhimisho ya Miaka 50 ya kuzaliwa kwa J...
|
AMIRI Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete
akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili ya maadhimisho ya Miaka 50
ya kuzaliwa kwa Jeshi la kujenga Taifa (JKT) katika Uwanja wa Mpira wa Uhuru
Dar es Salaam leo.
|
|
Add caption |
|
AMIRI
Jeshi
Mkuu Rais Jakaya Kikwete(katikati) na jukwaa Kuu wakipokea heshima ya gwaride maalum. |
|
Hao wakionesha umahiri wao wa kucheza kareti. |
|
Mkazi wa Dar es Salaam akipelekwa kupata huduma baada ya kupoteza fahamu katika sherehe hizo. |
|
AMIRI
Jeshi
Mkuu Rais Jakaya Kikweteakitoa hotuba. |
|
AMIRI
Jeshi
Mkuu Rais Jakaya Kikwete akiagana na Balozi wa Israel Tanzania, Gil Haskeli baada ya kuhudhuria sherehe hizo. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe na Spika wa Bunge, Anne Makinda. |
|
Rais Jakaya Kikwete akiagana pamoja na mmoja wa wasisi wa JKT, Zainabu
Kiango (kulia) na Mwasisi
mwenza pia, Mkuu wa JKT Mstaafu Brigedia Jeneral Disma Msilu. |
|
AMIRI
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akiagana na mmoja wa wasisi wa JKT, Zainabu Kiango baada ya kupiga picha ya kumbukumbu. Kutokea kushoto ni Mkuu wa JKT Mstaafu Brigedia Jeneral Martin Eddie Madata, Mkuu wa JKT Mstaafu Luteni Jenerali Abdulrahman Shimbo, Mnadhimu Mkuu wa
Majeshi nchini, Luteni General Samweli Ndomba, Mkuu wa JKT Mstaafu Dismas Msilu, Brigedia Jenerali Mstaafu (kulia) na Mkuu wa JKT, Meja Jenerali, S Muhuga (wa pili kulia). |
|
AMIRI
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akibadilishana mawazo na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamshi Vuai Nahodha (wa pili kushoto) baada ya kumalizika kwa sherehe. Katika ni Mnadhimu Mkuu wa Majeshi nchini, Luteni General Samweli Ndomba na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Saidi Meck Sadiki. |
|
Spika wa Bunge Mama Anne Makinda (kulia) akiagana Na mmoja wa Waasis wa JKT, Pia Mkuu wa JKT Mstaafu Brigedia General Martin Eddie Madata. Katikati ni Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki. |
|
Waziri wa Ulizni na Jeshi la kujenga Taifa, Shamshi Vuai Nahodha (kulia) akibadilishana kadi na Balozi wa Israel Tanzania, Gil Haskeli baada ya kuhudhuria sherehe hizo. |
COMMENTS