MATUKIO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI MKOANI RUKWA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungnao wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwasha mashine kuzindua pampu ya maji kwa wananchi wa mji ...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungnao wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwasha mashine kuzindua pampu ya maji kwa wananchi wa mji wa Namanyere Wilayani Nkasi, katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani, ambapo hapa Nchini yameadhimishwa rasmi jana Mkoani Rukwa, wa pili kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk. Terezya Huvisa.
Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia vijarida mbalimbali alipotembelea Banda la Ofisi ya Makamu wa Rais katika maonesho ya maadhimisho hayo.
Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal, akimuelekeza jambo Dk. Vidast Makota Mkurugenzi Habari Uenezi na Mawasiliano wa Baraza la Taifa la kuhifadhi Mazingira (NEMC) alipotelea mabanda ya maonyesho
Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal, akitembelea mabanda ya mbalimbali.
Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia baadhi ya miche ya mimea katika banda la Asasi ya Vijana wa kuhifadhi Mazingira Rukwa.
Kikundi cha ngoma za asili kikitoa burudani kwenye maadhimisho hayo.
Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal, akikabidhi kikombe kwa Meya wa Manispaa ya jiji la Mwanza Stanlaus Mabula ambapo Halmashauri ya jiji la Nyamagana Mwanza imeibuka Mshindi katika mashindano ya utunzaji wa Afya kwenye maadhimisho.
Kikundi cha Taarab cha TOT chini ya uongozi wa Malkia wa Mipasho Hadija Omar Kopa kikitumbuiza kwenye maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani Kitaifa yaliyoaadhimishwa jana katika viwanja vya sabasaba Wilayani Nkasi Mkoani Rukwa, wa kwanza kushoto anaejirusha Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk. Terezya Huvisa. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia Wananchi kwenye maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani.
 

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MATUKIO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI MKOANI RUKWA
MATUKIO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI MKOANI RUKWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjCDyWJeyIwCryYYcKHIKb0ZbkHfqYOvWbNtEDC-dEl8AdKmB16hZMh23CLlKrsILSYEvI4Ygu1Xs18gTj0zVnBXI0YhS6bSerr8O3I6ZtM_xbvPj_j_Yd2MuEwXHLW7-cPYEYCa8QzSic/s640/IMG_7416-701818.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjCDyWJeyIwCryYYcKHIKb0ZbkHfqYOvWbNtEDC-dEl8AdKmB16hZMh23CLlKrsILSYEvI4Ygu1Xs18gTj0zVnBXI0YhS6bSerr8O3I6ZtM_xbvPj_j_Yd2MuEwXHLW7-cPYEYCa8QzSic/s72-c/IMG_7416-701818.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2013/06/matukio-ya-siku-ya-mazingira-duniani.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2013/06/matukio-ya-siku-ya-mazingira-duniani.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy