TAHADHARI KUELEKEA KIPINDI CHA MSIMU WA MVUA ZA MASIKA

 WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI                   JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI Simu ya maandishi: “ZIMAMOTO KUU” Simu Nambar...






 WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
                  JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI


Simu ya maandishi: “ZIMAMOTO KUU”
Simu Nambari:  +255-22-2181093
Telefax:          + 255-22-2184569

16 Februari, 2018


   TAARIFA KWA UMMA
TAHADHARI KUELEKEA KIPINDI CHA MSIMU WA MVUA ZA MASIKA
Kufuatia uwepo na muendelezo wa mvua kubwa, ambazo zitaambatana na upepo mkali katika maeneo mbalimbali hapa nchini kama ilivyolitolewa taarifa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA). Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania Bara, linawatahadharisha wananchi kuwa makini katika suala zima la Kuokoa Maisha na Mali zao.
Kutokana na mvua hizo Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linawataka wananchi wote wanaoishi kwenye mazingira hatarishi (Mabondeni) kuwa makini na kuchukua hatua mapema ya kuyahama maeneo hayo kabla mvua hizo zinazotabiriwa hazijaanza kuleta madhara makubwa.
Hata hivyo, Jeshi lipo timamu na tayari kwa kukabiliana na majanga yoyote yatakayotokana na mvua hizo. Tunawaomba wananchi wote kuwa wepesi katika kutoa taarifa pindi wanapoona viashiria vya mafuriko au mtu kuzingirwa na maji.
Aidha, tunawaomba wananchi kutumia namba ya simu ya dharura 114 (bure) kutoa taarifa za matukio ya Moto, Mafuriko, Ajali za barabarani, Tetemeko la ardhi na majanga mengine kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.

Imetolewa na;
Kitengo cha Habari na Elimu kwa Umma
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji-Makao Makuu.
KAMISHNA WA USALAMA DHIDI YA MOTO WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, (CF) JESUALD IKONKO 

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TAHADHARI KUELEKEA KIPINDI CHA MSIMU WA MVUA ZA MASIKA
TAHADHARI KUELEKEA KIPINDI CHA MSIMU WA MVUA ZA MASIKA
https://docs.google.com/drawings/u/0/d/sU0fgUHxBvl0uyaIpFpd_FA/image?w=263&h=88&rev=1&ac=1
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhI2Vg6VvIslsnfwsSCoBfgZkodj7yHZcOP8tD7PUq6TQG6hJ-cAYYBe-5Q1zrLF9bpD2JHcOUis9AoiyogDpHMbefH_cJmgwzHKStKIYb2vRu21tCkZog_7M2gO7TPgH8OQsmhiZZ1FhY/s72-c/KAMISHNA+WA+USALAMA+DHIDI+YA+MOTO+WA+JESHI+LA+ZIMAMOTO+NA+UOKOAJI%252C+%2528CF%2529JESUALD+IKONKO+%25282%2529.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/tahadhari-kuelekea-kipindi-cha-msimu-wa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/tahadhari-kuelekea-kipindi-cha-msimu-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy