MWONGOZO WA UFUGAJI NA UPATIKANAJI WA MASOKO YA SUNGURA

Umeanza kufuga sungura na unakabiliwa na changamoto mbalimbali za ulishaji na magonjwa? Au unataka kuanza ufugaji wa sungura na hu...




Umeanza kufuga sungura na unakabiliwa na changamoto mbalimbali za ulishaji na magonjwa?
Au unataka kuanza ufugaji wa sungura na hujui jinsi ya kufanya?
Kubwa zaidi ni hili; unataka kufuga au unafuga, lakini HUJUI WAPI PA KULIPATA SOKO LA SUNGURA?
Yawezekana ulipata mafunzo, ukalipa fedha nyingi kununua mabanda, mbegu na chakula, lakini waliokupatia mafunzo wakati huo wamekukimbia na hata unapowatafuta ili wakusaidia changamoto zinazokukabili hawaonekani.
Yawezekana pia umeingia kwenye mikataba mbalimbali na baadhi ya watu waliokuaminisha kwamba wao wanalo soko la sungura - wengine wakakwambia wanasafirisha kupeleka Arabuni au Kenya - lakini mpaka sasa hawakusaidii lolote japo walikuahidi watakupatia na wataalam wa kuwahudumia wanapoumwa.


Umechanganyikiwa kwa kuona kwamba umepoteza muda na rasilimali zako kwenye ujasiriamali ambao waliokufundisha wamekukimbia na ukiwapigia ama hawapatikani au wanakujibu kwa ujeuri.
Usijali, hujapotea bado na sasa ondoa hofu kabisa. ANZA MWAKA MPYA KWA FIKRA MPYA ZENYE MAENDELEO!
PIGA NAMBA HII +255 656 331974 ILI KUPATA MWONGOZO HUU kwa kuchangia BEI NDOGO TU YA SHS. 20,000/= ili uweze kupata nakala hii kwa njia ya mtandao popote ulipo.
Utajifunza mengi ndani ya mwongozo huu ambayo ni pamoja na ufugaji bora, uhudumiaji, utafutaji wa masoko, MAGONJWA kujua dalili zake, jinsi ya kuyatibia na namna ya kuyakinga!
Kumbuka tu kwamba, biashara yoyote unahitaji vitu vikuu vitatu au vinne: Elimu sahihi ya biashara unayotaka kuifanya; SOKO – nani wateja wa bidhaa zako?; Mtaji wa biashara; na Muda.
Kwa kuwa unatumia gharama hasa katika mtaji, ni vyema ukapata elimu sahihi pamoja na kujua namna ya kutafuta masoko, kinyume chake utakuwa unafanya kazi ya Muhanga, mnyama ambaye kazi yake ni kuchimba mashimo halafu anashindwa kuishi!
Epukana na madalali wanaoweza kukupotosha ambao wao wanatafuta fursa tu ili wapige dili hasa baada ya kukuuzia mbegu na mabanda halafu wanakuteleza.

WASILIANA NA DANIEL MBEGA KWA SIMU HII +255 656 331974 ILI UPATE NAKALA YAKO SASA!!

COMMENTS

BLOGGER: 1
Loading...
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MWONGOZO WA UFUGAJI NA UPATIKANAJI WA MASOKO YA SUNGURA
MWONGOZO WA UFUGAJI NA UPATIKANAJI WA MASOKO YA SUNGURA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh6bgUijvm6w0Ro2opMdz4jG93Fw1hzDGdOCJzJSyliKBtqlTZoQzM4n4qlrj03zat4I5r3zJ7BqvKS9rtFz3GimfybKlTCNXuJ-5rkplgHX9Yi7mTweWLHGahckmujVSOl7aGcUZZGCBRA/s640/MWONGOZO+WA+UFUGAJI+BORA.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh6bgUijvm6w0Ro2opMdz4jG93Fw1hzDGdOCJzJSyliKBtqlTZoQzM4n4qlrj03zat4I5r3zJ7BqvKS9rtFz3GimfybKlTCNXuJ-5rkplgHX9Yi7mTweWLHGahckmujVSOl7aGcUZZGCBRA/s72-c/MWONGOZO+WA+UFUGAJI+BORA.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2018/01/mwongozo-wa-ufugaji-na-upatikanaji-wa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/01/mwongozo-wa-ufugaji-na-upatikanaji-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy