RC GAMBO AZINDUA MRADI WA UTAOJI MITEGO KWA WANYAMAPORI (DE -SNARING PROJECT) KWA MBUGA YA WANYAMA YA SERENGETI JIJINI ARUSHA

 Mwenyekiti wa Wakala wa Utalii nchini, TATO (Tanzania Associations of Tour Operators) Wilbard Chambulo akigonga glasi na wageni waalikw...


 Mwenyekiti wa Wakala wa Utalii nchini, TATO (Tanzania Associations of Tour Operators) Wilbard Chambulo akigonga glasi na wageni waalikwa kabla ya kuanza kwa Uzinduzi wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel)  tarehe 14:10:2017, Jijini Arusha.
 Wageni Waalikwa wakipata vinywaji kabla ya Uzinduzi wa Mradi (FZS Serengeti Conservation Programme De -Snaring Project)
 Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Utalii Nchini (TATO), Sirili Akko akiwakaribisha na kutoa ratiba fupi kwa wageni waalikwa kabla ya kuanza kwa Uzinduzi wa Mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel)  tarehe 14:10:2017, Jijini Arusha.
 Wadau wa Habari wakiwa katika Uzinduzi wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel)  tarehe 14:10:2017, Jijini Arusha.
 Meza Kuu, Watatu kutoka Kulia ni Mkuu wa Mkoa Arusha Mhe. Mrisho Gambo, Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Daqqaro, Chambulo, Mzee Nunes , Gerald Bigurube (FZS-TZ) na Dk. Simon Mduma (TAWIRI) katika Uzinduzi wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel)  tarehe 14:10:2017, Jijini Arusha.

 Mzee Nunes akitoa Mada fupi katika uzinduzi wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel)  tarehe 14:10:2017, Jijini Arusha.
 Wadau wa Utalii nchini wakisikiliza kwa Umakini katika uzinduzi wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel)  tarehe 14:10:2017, Jijini Arusha.
 Wadau wa Mradi , Kutoka (kushoto) ni William Mwakitelima (TANAPA), Abraham Saidea (DE-SNARING TEAM), Erik Winberg (FZS Project Manager)

 Wageni waalikwa
 Kamati ya Maandalizi

 Meneja wa Mradi, Ndugu Erik Winberg akitoa Maelezo na Picha ya Mradi wa utoaji mitego kwa Wanyama pori

 Ndugu Abraham Saidea, akionyesha Nyaya zitumikazo kutega wanyamapori katika mbuga ya Wanyama ya Serengeti katika uzinduzi wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel) Jijini Arusha.

 Msaidizi wa Mradi, Abraham Saidea akitoa maelezo ya jinsi Majangili wanavyowatega kwa waya Wanyamapori katika Mbuga ya Serengeti katika uzinduzi wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel), jijini Arusha.





 Mdau wa Utalii akiuliza Swali kwa waendesha Mada katika uzinduzi wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel) Jijini Arusha.
 Mdau wa Utalii akiuliza Swali kwa waendesha Mada katikauzinduzi wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel) Jijini Arusha.
 Ndugu Salehe akiuliza Swali kwa waendesha Mada katika uzinduzi wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel) Jijini Arusha.
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Daqqaro akisalimia na kumkaribisha Mkuu wa Mkoa ili kuzindua mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel) Jijini Arusha.
 Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo akizindua Mradi  wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel) Jijini Arusha.


 Ugawaji wa Vyeti kwa wadau wa Utalii katika uzinduzi wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel) Jijini Arusha.

 Mdau wa Utalii akipokea Cheti cha Ushiriki katika uzinduzi wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel), jijini Arusha.


 Mdau wa Utalii akipokea Cheti cha Ushiriki katika uzinduzi wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel) Jijini Arusha.

Hanspaul akipokea Cheti cha Ushiriki katika uzinduzi wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel) Jijini Arusha.


 Mdau wa Utalii akipokea Cheti cha Ushiriki katika uzinduzi wa Mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel) jijini Arusha.

 Dk. Simon Mduma akitoa neno la Shukrani kwa wadau wa utalii katika Uzinduzi wa Mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel) jijini Arusha.




Chambulo, akitoa neno la Hitimisho mara baada ya uzinduzi wa mradi wa Utoaji Mitego kwa Wanyamapori (FZS Serengeti Conservation Programme De -Snaring Project) kwa Mbuga ya Wanyama ya Serengeti iliyofanyika katika Hoteli ya Four Points by Sheraton Arusha (zamani The Arusha Hotel) jijini Arusha.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RC GAMBO AZINDUA MRADI WA UTAOJI MITEGO KWA WANYAMAPORI (DE -SNARING PROJECT) KWA MBUGA YA WANYAMA YA SERENGETI JIJINI ARUSHA
RC GAMBO AZINDUA MRADI WA UTAOJI MITEGO KWA WANYAMAPORI (DE -SNARING PROJECT) KWA MBUGA YA WANYAMA YA SERENGETI JIJINI ARUSHA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEieaGxV2TaTzkhHAz8kerPXFLHP7Etgkgy1Su1JRjhFrWExYTXjG772SJHCnWWTwJg6EUbD6vGTvoxuRMNA2_N81Em6vrm_JbMO15Tn1hP9vanj76__4VBxCwS6NYsJMG7cFiHoqrsDvSo/s640/DSC_0005.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEieaGxV2TaTzkhHAz8kerPXFLHP7Etgkgy1Su1JRjhFrWExYTXjG772SJHCnWWTwJg6EUbD6vGTvoxuRMNA2_N81Em6vrm_JbMO15Tn1hP9vanj76__4VBxCwS6NYsJMG7cFiHoqrsDvSo/s72-c/DSC_0005.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/rc-gambo-azindua-mradi-wa-utaoji-mitego.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/rc-gambo-azindua-mradi-wa-utaoji-mitego.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy