WASHINDI WA AFYABANDO KWENYE DROO YA PILI WAPATIKA LEO
Mabalozi wa Nordic Foundation Tanzania Hilary Daudi' Zembwela' na Najma Abdallah wakiendesha kampeni ya Afyabando kuwapata washindi 10 watakaokabidhiwa kadi za Bima ya afya zenye thamani ya shilingi milioni 1.5 kwa ajili ya matibabu pamoja na familia. Mchezo huo umechezeshwa jijini Dar es Salaam leo Septemba 24. 2017. 

HomeJamii

WASHINDI WA AFYABANDO KWENYE DROO YA PILI WAPATIKA LEO

Mabalozi wa Nordic Foundation Tanzania Hilary Daudi' Zembwela' na Najma Abdallah wakiendesha kampeni ya Afyabando kuwapat...

WAKAZI WA JIJI LA DAR WAFURIKA KATIKA BANDA LA UBER NA KUJIUNGA NA HUDUMA
MWIGULU MGENI RASMI MKUTANO WA KIMATAIFA WA SHUKRANI WA KULIOMBEA TAIFA KATIKA UWANJA WA UHURU DAR ES SALAAM
BALOZI DK. PINDI CHANA NA MWENYEKITI WA BODI YA WADHAMINI WA LAPF WATEMBELEA BANDA LA LAPF MAONYESHO YA SABASABA







Mabalozi wa Nordic Foundation Tanzania Hilary Daudi' Zembwela' na Najma Abdallah wakiwa na Mkaguzi kutoka Bodi ya Taifa ya Michezo ya kubahatisha, Bakari Maggid aliyesimamia zoezi la kuendesha kampeni ya Afyabando kuwapata washindi 10 watakaokabidhiwa kadi za Bima ya afya zenye thamani ya shilingi milioni 1.5 kwa ajili ya matibabu pamoja na familia. Mchezo huo umechezeshwa jijini Dar es Salaam leo Septemba 24 2017.

Balozi wa Nordic Foundation Tanzania, Najma Abdallah akiwasiliana na Mwalimu wa Shule ya Msingi iliyopo Songwe Mkoani Mbeya, Hassan Mwamburi baada ya kuibuka mmoja wa washindi 10 katika droo ya Pili ya kampeni ya Afyabando iliyofanyika jijini humo leo. Washindi watakaokabidhiwa kadi za Bima ya afya zenye thamani ya shilingi milioni 1.5 kwa ajili ya matibabu pamoja na familia.

Balozi wa Nordic Foundation Tanzania Najma Abdallah akiwasiliana na Diana Peter Mkazi wa Morogoro baada ya kuibuka mmoja wa washindi 10 watakaokabidhiwa kadi za Bima ya afya zenye thamani ya shilingi milioni 1.5 kwa ajili ya matibabu pamoja na familia, katika droo ya kwanza ya Afyabando mchezo uliochezeshwa jijini Dar es Salaam leo Septemba 24 2017


Mabalozi wa Nordic Foundation Tanzania, Hilary Daudi' Zembwela' na Najma Abdallah wakiendesha Bahati nasibu ya Afyabando ya pili ambapo washindi 10 watapatiwa kadi za bima za afya zenye thamani ya shilingi milioni moja na nusu baada ya kushiriki mchezo huo kwa shilingi 500 tu. Mchezo huo umechezeshwa jijini Dar es Salaam leo Septemba 24 2017. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogspot)






Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WASHINDI WA AFYABANDO KWENYE DROO YA PILI WAPATIKA LEO
WASHINDI WA AFYABANDO KWENYE DROO YA PILI WAPATIKA LEO
https://i.ytimg.com/vi/04FebwAsUQo/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/04FebwAsUQo/default.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/washindi-wa-afyabando-kwenye-droo-ya.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/washindi-wa-afyabando-kwenye-droo-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy