BALOZI DK. PINDI CHANA NA MWENYEKITI WA BODI YA WADHAMINI WA LAPF WATEMBELEA BANDA LA LAPF MAONYESHO YA SABASABA

Balozi wa Tanzania Nchini Kenya Dr. Pindi Chana akisalimiana na   Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa...


Balozi wa Tanzania Nchini Kenya Dr. Pindi Chana akisalimiana na  Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe alipotembelea banda la LAPF katika maonyesho ya biashara ya Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam,mapema jana.

Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya LAPF Prof. Faustine  Bee (katikati aliyeshika tuzo ya ushindi wa Lapf )akiwa katika picha ya pamoja na Meneja masoko wa LAPF Bw.James Mlowe   pamoja na wafanyakazi wa mfuko huo wakati alipotembelea  banda la mfuko wa Pensheni wa LAPF katika viwanja vya Sabasaba mapema jana .




Balozi wa Tanzania Nchini Kenya Dr. Pindi Chana akipokea zawadi kutoka kwa mtumishi wa LAPF Simboninsia Ndosi  alipotembelea banda la LAPF katika maonyesho ya biashara ya Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam, kulia anayeshuhudia tukio hilo ni Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe mapema jana








Wanachama wapya wa LAPF wakielekezwa kujaza fomu ya kujiunga na mfuko huo mapema jana katika viwanja vya sabasaba mapema jana.


Mtumishi wa LAPF  akimsajili  mmoja wa wanachama wa  LAPF alietembelea banda hilo.


Wateja wakiwa wanasubiri kupata kadi zao za uanachama mara baada ya kujiunga na mfuko huo mapema jana katika maonesho ya sabasaba.
Maafisa wa LAPF wakitoa maelezo kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waliofurika kwenye banda la LAPF na kujiunga na uanachama kwenye mfuko katika maonesho ya SabaSaba mapema jana.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: BALOZI DK. PINDI CHANA NA MWENYEKITI WA BODI YA WADHAMINI WA LAPF WATEMBELEA BANDA LA LAPF MAONYESHO YA SABASABA
BALOZI DK. PINDI CHANA NA MWENYEKITI WA BODI YA WADHAMINI WA LAPF WATEMBELEA BANDA LA LAPF MAONYESHO YA SABASABA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiZjpdi2Vn3jQRziyiP10Q6P5bkzT4lJ6-GHv6HrOH9L6k9iJokiLvwXIvjjDHDTZTEWrwr1F4ydjl8DOARZYNJhdiKsciRQo1uY2z80Ajhro43F67VDsxO0H6J8dPLWEd9kUBq96U_Xi8/s640/IMAGE0275.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiZjpdi2Vn3jQRziyiP10Q6P5bkzT4lJ6-GHv6HrOH9L6k9iJokiLvwXIvjjDHDTZTEWrwr1F4ydjl8DOARZYNJhdiKsciRQo1uY2z80Ajhro43F67VDsxO0H6J8dPLWEd9kUBq96U_Xi8/s72-c/IMAGE0275.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/balozi-dk-pindi-chana-na-mwenyekiti-wa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/balozi-dk-pindi-chana-na-mwenyekiti-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy