KAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI TIGO YATOA OFA KABAMBEYA SIMU ZA KISASA MAONESHO YA NANE NANE -LINDI

Meneja Mauzo Kampuni ya Tigo Mkoa wa Mtwara, Lilian Mwalongo akionesha simu mpya ya Tecno R6 kwa baadhi ya wananchii waliofika katika ba...Meneja Mauzo Kampuni ya Tigo Mkoa wa Mtwara, Lilian Mwalongo akionesha simu mpya ya Tecno R6 kwa baadhi ya wananchii waliofika katika banda la Tigo katika maonesho ya Kilimo ya Nane Nane yanayoendelea Mkoa wa Lindi.
.Moja ya kikundi cha Timu ya  Mauzo Tigo wakiwa katika picha ya pamoja katika maonesho ya Kilimo yanayoendelea Mkoani Lindi.


Meneja Mauzo Kampuni ya Tigo Mkoa wa Mtwara, Lilian Mwalongo akionesha simu mpya ya Tecno R6 kwa baadhi ya wananchii waliofika katika banda la Tigo katika maonesho ya Kilimo ya Nane Nane yanayoendelea Mkoa wa Lindi.         Wakati maadhimisho haya yanafanyika mkoani Lindi kitaifa, Tigo inashiriki kikamilifu katika maadhimisho ya Nanenane katika mikoa ya MorogoroMbeya, Dodoma, Arusha, Mwanza na Tabora.
·         Pia kama ilivyo kawaida yetu ya kuwajali wateja na wananchi kwa ujumla kupitia bidhaa na Huduma zetu bora, kupitia msimu huu wa Nanenane tunatoa ofa kabambe kuhakikisha wananchi wanaendelea kufurahia maisha ya kidigitali. Ofa hizi ni kwa simu za kijanja aina ya Tecno S1 kwa bei ya TZS 99,000/- na Tecno R6 kwa bei ya TZS 195,000 tu. Unaponunua simu hizi unapata mpaka GB 3 za kuperuzi na mtandao ulioboreshwa zaidi Tanzania. 
·         Hii ni sababu tosha kwa wakazi wote wa Lindi na mikoa mingine ambapo maonyesho haya ya Nanenane yanaendelea kuwahi katika banda la Tigo na kujinyakulia simu ili kupata nafasi ya kujishindis Zawadi tulizozitaja.

 Hayo yalisemwa na Meneja Mauzo wa Tigo mkoa wa Mtwara, Lilian Mwalongo kwenye maonesho hayo jana
COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI TIGO YATOA OFA KABAMBEYA SIMU ZA KISASA MAONESHO YA NANE NANE -LINDI
KAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI TIGO YATOA OFA KABAMBEYA SIMU ZA KISASA MAONESHO YA NANE NANE -LINDI
https://2.bp.blogspot.com/-enRM9Pzw9NY/WYb6VM8_oHI/AAAAAAAAfS8/3ziD7Jz5-9M-dgp9i6BD6NdCjXpkTW2rwCLcBGAs/s640/DSC_4920.JPG
https://2.bp.blogspot.com/-enRM9Pzw9NY/WYb6VM8_oHI/AAAAAAAAfS8/3ziD7Jz5-9M-dgp9i6BD6NdCjXpkTW2rwCLcBGAs/s72-c/DSC_4920.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/kampuni-ya-simu-za-mkononi-tigo-yatoa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/kampuni-ya-simu-za-mkononi-tigo-yatoa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy