CHUO CHA UFUNDI ARUSHA CHAZINDUA MTAALA MPYA WA GESI NA MAFUTA

Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Arusha,Hagnery Chitukulo akizungumza wakati wa ufunguzi wa kozi ya ufundi bomba,mafuta na gesi katika chuo cha U...





Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Arusha,Hagnery Chitukulo akizungumza wakati wa ufunguzi wa kozi ya ufundi bomba,mafuta na gesi katika chuo cha Ufundi Arusha(ATC) jijini Arusha,kushoto ni Mkuu wa Chuo cha Camosun nchini Canada, Sherri Bell na Mkuu wa Chuo cha ATC, Dk Richard Masika (
kulia)


Afisa wa kitengo cha biashara katika ubalozi wa Canada nchini,Anita
Kundy akisoma hotuba yake,kushoto ni Mshauri wa ufundi kutoka nchini Canada,Dk Alan Copeland.

Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Arusha, Hagnery Chitukulo akionesha nakala ya mtaala mpya wa kozi ya ufundi bomba, mafuta na gesi uliozinduliwa katika chuo cha Ufundi Arusha (ATC)

Mkurugenzi wa Elimu ya Ufundi nchini (TVET) Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhandisi Thomas Katebalirwe akizungumza jambo katika hafla ya uzinduzi huo. 


Baadhi ya wanafunzi wa mwanzo wa kozi ya ufundi bomba na utaalamu wa gesi na mafuta katika Chuo cha ufundi Arusha



Mgeni rasmi Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Arusha,Hagnery Chitukulo (wa tatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wageni kutoka Chuo cha Camosun, Victoria nchini Canada na Chuo cha ATC.


Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Arusha, Hagnery Chitukulo amekipongeza Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) kwa uamuzi wake wa kushirikiana na Chuo cha Camosun cha nchini Canada kuandaa mtaala wa ufundi bomba, gesi na mafuta katika ngazi ya Diploma.


Akizindua mtaala huo ambao ni kwanza na aina yake nchini alisema utaisadia serikali kuwapata vijana wengi wenye utaalamu wa sekta ya mafuta na gesi nchini katika ngazi hiyo ambayo imenekana kuna pengo kubwa nchini.


“Mafunzo haya yatasaidia sana kuwapata wataalamu wetu na itaipunguzia serikali mzigo wa kuwaajili wataalamu wa kigeni ambao ulipwa fedha nyingi za kigeni,”alisema


Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha, Dk Richard Masika amesema baada ya kutambua mahitaji makubwa ya wataalamu wa fani hiyo katika kipindi cha miaka miwili iliyopita walikua wakiaanda mtaala kwa ushirikiano na Chuo cha Camosun na mafanikio yamepatikana.


Alisema kozi hiyo ni nyumbufu itakayowawezesha wanafunzi kufanya kazi baada ya kumaliza mwaka wa kwanza na baadaye kuendelea na masomo jambo ambalo litakua likiwapa maarifa kwa vitendo zaidi badala ya nadharia pekee.


Mmoja wa wanafunzi wanaosoma kozi hiyo ambayo imegharamiwa na serikali ya Tanzania,Latifa Mkombo amesema wanaishukuru serikali kwa kutoa ufadhili huo na kuahidi kusoma kwa bidii kwaajili kuingia katika ajira za gesi na mafuta.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: CHUO CHA UFUNDI ARUSHA CHAZINDUA MTAALA MPYA WA GESI NA MAFUTA
CHUO CHA UFUNDI ARUSHA CHAZINDUA MTAALA MPYA WA GESI NA MAFUTA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjlkoEdPYqksFAUWtjDu5ZQ8qRG0Eyr3V0EHcRxU5pq-aO2iFP4NyWciAL1QSEzvH-w0UAdsJ42dHFAd2B3lYFdiL4skpsbgeyLKDaWyrmnkFyKEFJx1TGpdiauZIfYp5uELdo_pFFVZGI/s640/M+1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjlkoEdPYqksFAUWtjDu5ZQ8qRG0Eyr3V0EHcRxU5pq-aO2iFP4NyWciAL1QSEzvH-w0UAdsJ42dHFAd2B3lYFdiL4skpsbgeyLKDaWyrmnkFyKEFJx1TGpdiauZIfYp5uELdo_pFFVZGI/s72-c/M+1.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/chuo-cha-ufundi-arusha-chazindua-mtaala.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/chuo-cha-ufundi-arusha-chazindua-mtaala.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy