TRA YAENDELEA KUWABAMBA WASIOTOA RISITI ZA MACHINE ZA KIELEKRONIKI

Imeandaliwa na Robert Okanda Blog Meneja Elimu kwa Mlipa kodi wa Mamlaka ya mapato Nchini (TRA), Bi. Dayana Masala ameongoza operesheni y...



Imeandaliwa na Robert Okanda Blog
Meneja Elimu kwa Mlipa kodi wa Mamlaka ya mapato Nchini (TRA), Bi. Dayana Masala ameongoza operesheni ya kuwakamata wafanyabiashara wa vituo vya mafuta wanaohudumia pasipo kutoa risiti na kusababishia serikali kutokusanya mapato stahiki kwa huduma wanazotoa leo jijini Dar es Salaam.

Meneja Elimu kwa Mlipa kodi wa Mamlaka ya mapato Nchini (TRA), Bi. Dayana Masala akiongea Mwakilishi wa Kituo cha Mafuta cha Oilcom kilichopo kando ya Barabara ya Ali Hassan Mwinyi Kijitonyama Dar es Salaam Julai 6 2017 baada kumkamata mhudumu wa kituo hicho akiwa amemhudumia mteja pasipo kumpatia risiti ya kielektroniki.

Operesheni hiyo ilifanyika mapema jijini humo na baadhi ya vituo vya mafuta kubambwa baadhi ya watoa huduma ya uuzaji wa nishati ya petroli na diseli wakitoa huduma ya kwa vyombo vya moto bila kutoa risiti kwa wateja jambo ambalo ni kinyume cha sheria za nchi jambo linalosababishia serikali kupoteza mapato.

Bi Msala amewaonya wafanyabiashara wenye tabia ya kutopenda kuwapa wateja risiti kwani kwa kufanya hivyo watalazimika watakapobainika watalipa faini ya shilingi milioni nne na nusu. 

Pia amewasisitiza wananchi kudai risiti wanapopata huduma za bidhaa mbalimbali kwani kwa kutokufanya hivyo pia ni kosa na wakikutwa wamenunua bidhaa bila kudai risiti watalazimika kulipa fidia ya shilingi milioni moja na nusu.







COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TRA YAENDELEA KUWABAMBA WASIOTOA RISITI ZA MACHINE ZA KIELEKRONIKI
TRA YAENDELEA KUWABAMBA WASIOTOA RISITI ZA MACHINE ZA KIELEKRONIKI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEht1L620f3Xoc0pdw5CPn6_Ax7Zyh8tLx-w7MdsYOzjqgJALvb5KtgmxCALEib1LA4k6hlW7SFjEb-8pt2wqT3ZF7zYOAT4R49LgauH5fuGjJ2yz9xVNwh-VMcShC35eim3Yr-UevVfdss/s640/TRA+OPERATIONS.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEht1L620f3Xoc0pdw5CPn6_Ax7Zyh8tLx-w7MdsYOzjqgJALvb5KtgmxCALEib1LA4k6hlW7SFjEb-8pt2wqT3ZF7zYOAT4R49LgauH5fuGjJ2yz9xVNwh-VMcShC35eim3Yr-UevVfdss/s72-c/TRA+OPERATIONS.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/tra-yaendelea-kuwabamba-wasiotoa-risiti.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/tra-yaendelea-kuwabamba-wasiotoa-risiti.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy