TIGO YABORESHA HUDUMA ZA MTANDAO

Ofisa Mkuu wa Ufundi na Mawasiliano wa Tigo, Jerome Albou akizungumza na wanahabari mbalimbali jijini Dar es Salaam juzi, Juu ya Uwe...Ofisa Mkuu wa Ufundi na Mawasiliano wa Tigo, Jerome Albou akizungumza na wanahabari mbalimbali jijini Dar es Salaam juzi, Juu ya Uwekezaji katika mkutano na vyombo vya habari kwenye warsha ya uwekezaji katika kuboresha upatikanaji wa mtandao wa Tigo kote nchini.
Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, ambayo ni kinara wa ubunifu wa mitindo ya maisha ya kidijitali nchini, imetangaza mageuzi katika uwekezaji  ili kuboresha upatikanaji wa mtandao ili kuweza kuwapatia huduma bora zaidi wateja wake wa matumizi ya sauti na data.
Akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya Habari nchini, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Ufundi na mawasiliano wa Tigo, Jerome Albou,amesema  kampuni  hiyo imewekeza kiasi cha dola za kimarekani millioni 75 kwenye mradi mkubwa wa kuendeleza mtandao huo.
Alisema moja ya malengo yao kimkakati ni kubadilisha uzoefu wa wateja kwa kuwapatia mtandao wenye ufanisi kulingana na viwango vya sekta ya mawasiliano ambapo katika miaka mitatu iliyopita Tigo imeweza kuongeza msingi  wa wateja wake kufikia zaidi ya milioni 10.
“Kadri tunavyoendelea kukua, kupanua  mtandao na kuufanya kuwa wa kisasa zaidi, ni jambo la lazima kutoa huduma bora zaidi,” alisema Albou huku akiongeza kwamba kuanzia mwaka jana kampuni ya Tigo imefanya upanuzi mkubwa wa miundo mbinu ili kuweza kufikia maeneo mengi nchini .

“Mahitaji ya matumizi ya data yamekuwa yakiongezeka kila siku, hivyo Tigo imeweza kuhakikisha matumizi ya 3G na 4G yanaweza kuwafikia watumiaji vijijini,” aliongeza Albou


COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TIGO YABORESHA HUDUMA ZA MTANDAO
TIGO YABORESHA HUDUMA ZA MTANDAO
https://1.bp.blogspot.com/-8J7hr7CwiUk/WW4426Ip2NI/AAAAAAAAfEU/Y5sWMD2eBbwJ3bZpsTZ8BY9FKPyN4NHnQCLcBGAs/s640/Jerome.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-8J7hr7CwiUk/WW4426Ip2NI/AAAAAAAAfEU/Y5sWMD2eBbwJ3bZpsTZ8BY9FKPyN4NHnQCLcBGAs/s72-c/Jerome.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/tigo-yaboresha-huduma-za-mtandao.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/tigo-yaboresha-huduma-za-mtandao.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy