MAONESHO YA SABASABA 2017; PPF WAJIZOLEA SIFA YA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANACHAMA NA WANANCHI WANAOTEMBELEA BANDA HILO

 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bw. William Erio, (mwenye suti), akiungana na wafanyakazi wenzake kuhudumia wananchi waka...


 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bw. William Erio, (mwenye suti), akiungana na wafanyakazi wenzake kuhudumia wananchi wakati wa maonesho ya 41 ya biashara ya kimataifa uya Dar es Salaam leo Julai 2, 2017. Wananchi wengi waliotembelea banda hilo wamefurahishwa na huduma zitolewazo na wafanyakazi wake kwa kwa jinsi wanavyosikiliza na kutoa huduma kwa wanachama na wananchi wengine. miongoni mwa maswali mengi yaliyoulizwa mara kwa mara ni kuhusu mpango wa uchangiaji wa hiari ujulikanao kama "Wote Scheme), unaotoa fursa kwa wajasiriamali wadogo kama mama lishe madereva wa bodaboda, wamachinga na mtu yeyote anayefanya kazi halali ya kumuingizia kipato anavyoweza kujiunga na mpango huo na hatimaye kupata faida mbalimbali ikiwemo bima ya afya na mikopo kwa wajasiriamali wadogo,
 Wananchi wakipatiwa maelezo kuhusu shughuli na huduma zitolewazo na PPF.
 Meneja wa elimu kwa wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Kwame Temu, (kushoto), akitoa maelezo kwa mwananchi huyu aliyetembelea banda la Mfuko huo lililoko jengo la Wizara ya Fedha na Mipango kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere kuinakofanyika maonesho ya 41 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam leo Julai 2, 2017.
  Wananchi wakipatiwa maelezo kuhusu shughuli na huduma zitolewazo na PPF.
  Wananchi wakipatiwa maelezo kuhusu shughuli na huduma zitolewazo na PPF.
 Wafanyakazi wa PPF, wakiwa makini katika kuwahudumia wananchi waliofika banda la Mfuko huo






 Mkurugenzi Mkuu wa PPF, Bw. William Erio, (kushoto), akizungumza jambo, wakati alipokutana na muigizaji mkongwe hapa nchini, Mzee Jangala, (wapili kushoto), wakati akitembelea bustani daraza ya Jeshi la Magereza, kwenye maonesho ya 41 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, leo Julai 2, 2017. Wengine pichani kutoka kulia ni Bi. Yunge Saganda wa Jeshi la Magereza, Bi. Lulu Mengele, Meneja Uhusiano wa PPF na Bi Jannet Ezekiel Afisa Uhusiani Mwandamizi wa Mfuko huo
Mama Anna Mkapa, (kushoto),  ambaye ni  Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote, (EOTF), na Mke wa Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa, akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkuu wa PPF, Bw. William Erio, (wapili kushoto), Mama Mwantumu Mahiza, wakati alipotembelea banda la EOTF linalowakusanya wajasiriamali mbalimbali kuitoka nchini kote leo Julai 2, 2017
 Mjasiriamali kutoka mkoani Kigoma, Bi.Dporothy Timoth Takwe, (kushoto), akitoa maelezo ya ladha nzuri ya dagaa wa ziwa Tanganyika, wakati mama Mkapa, Mkurugenzi Mkuu wa PPF na mmoja wa viongozi wa televisehni ya Agape, (kulia), wakati walipotembelea banda la mjasiriamali huyo lililoko jengo la EOTF
 Mama Mkapa, Mkurugenzi Mkuu Erio, wakitazama bidhaa zilizofungwa vizuri na wajasiriamali wa Tanzania
Bw. Erio akisaini kitabu cha wageni kwenye banda la Magereza

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAONESHO YA SABASABA 2017; PPF WAJIZOLEA SIFA YA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANACHAMA NA WANANCHI WANAOTEMBELEA BANDA HILO
MAONESHO YA SABASABA 2017; PPF WAJIZOLEA SIFA YA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANACHAMA NA WANANCHI WANAOTEMBELEA BANDA HILO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEivCagsMdL5hC_DnGyf9XwIFgtvD-qfeXWzi5pAGv80vPwHrELPPzfx7dybdE8CtGB1mfKtSjLEJHP5Ld09CsfB77Dk0wrwxs6VSx6ZQFe4DjDUkGg_GXMfyndl1_9BkrhEL2o0-zIyvHQ/s640/5R5A8506.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEivCagsMdL5hC_DnGyf9XwIFgtvD-qfeXWzi5pAGv80vPwHrELPPzfx7dybdE8CtGB1mfKtSjLEJHP5Ld09CsfB77Dk0wrwxs6VSx6ZQFe4DjDUkGg_GXMfyndl1_9BkrhEL2o0-zIyvHQ/s72-c/5R5A8506.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/maonesho-ya-sabasaba-2017-ppf-wajizolea.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/maonesho-ya-sabasaba-2017-ppf-wajizolea.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy