Modesta Mchopa wa PSPF, (kulia), akimpatia taarifa za michango mwanachama wa Mfuko huo, Afisa wa polisi, E.M Peter, aliyefika kwenye ...
Mhandisi mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw. Ally R. Shanjirwa (kulia), akimkabidhi kadi yake ya uanachama wa Mfuko huo, kupitia mpango wa uchangiaji wa hiari (PSS), Bi.Julieth Mwiziko, punde tu baada ya kujiunga.
Afisa
Uendeshaji wa PSPF, Bi. Irine J. Musetti(kulia),
akimkabidhi kadi yake ya uanachama wa Mfuko huo, kupitia
mpango wa uchangiaji wa hiari (PSS), Bi.Sakina Iddi Tundu, punde tu baada
ya kujiunga.
Uendeshaji wa PSPF, Bi. Irine J. Musetti(kulia),
akimkabidhi kadi yake ya uanachama wa Mfuko huo, kupitia
mpango wa uchangiaji wa hiari (PSS), Bi.Sakina Iddi Tundu, punde tu baada
ya kujiunga.
Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF, Bw. Abdul Njaidi (kulia), akimsaidia mama huyu kujaza fomu za kujiunga na PSPF kupitia mpango wa uchangiaji wa hiari PSS.
Mwanachama huyu akiwa amepatiwa taarifa za michango yake papo hapo
Mwanachama akisoma taarifa za michango yake
Binti huyu akisoma kipeperushi chenye taarifa mbalimbali za PSPF
Bi. Modesta Mchopa, ambaye naye ni afisa wa PSPF aliye kwenye mafunzo. akiwahudumia wanachama hawa wa Mfuko huo waliofika kujua michango yao.
Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF, Bw. Abdul Njaidi (wapili kushoto), akimwelekeza jambo Mfanyakazi wa PSPF aliye kwenye mafunzo ya vitendo, Bw.Honorath Tillya, (watatu kushoto), huku mwananchi aliyetembelea banda la Mfuko huo (kulia), akijaza kitabu cha wageni. Wakwanza kushoto ni Modesta Mchopa, ambaye naye ni afisa wa PSPF aliye kwenye mafunzo.
Win-God, (kushoto), Afisa wa uendeshaji msaidizi wa PSPF, waliwahudumia wateja.
Afisa uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF anayeshughulikia masuala ya uchangiaji wa hiari (PSS), Bi. Asmahan H. Haji,(kulua), akiwahudumia wananchi waliotembelea banda la Mfuko huo. |
Anna Lukando, katikati anayeangalia camera), ambaye ni Afisa Mipango wa Taasisi ya Ardhi Plan Limited, ambayo ni mshirika wa PSPF katika masuala ya viwanja, akiwapatia maelezo wananchi waliofika banda la PSPF ili kupatiwa huduma za uanachama. Wanachama wa PSPF kwa mujibu wa sheria, wanaweza kukopeshwa viwanja na taasisi hiyo.
Bw. Isack Kimaro, (kushoto), Afisa wa uendeshaji PSPF, akimuhudumia mwananchi aliyejiunga kwenye mpango wa PSS
Afisa wa Huduma za Sheria wa Mamlaka ya Udhibiti na Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii, (SSRA), aliye kwenye banda la Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bi. Imani Masebu, (wapili kulia), akiwafafanulia masuala muhimu yahusuyo hifadhi ya jamii wananchi hawa waliofika wkenye banda la Mfuko huo. Kulia ni Afisa Mkuu wa Mifumo ya Kompyuta wa PSPF, Bi. Mariam Ibrahim.
Kikao cha tathmini ya kazi iliyofanyika kutwa nzima katika banda la PSPF kikiongozwa na mkuu wa timu inayoshiriki kuwahudumia wananchi kwenye banda hilo Bw. Abdul Njaidi.
COMMENTS