DIWANI VITI MAALUM WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) ATOA MSAADA WA VITU MBALIMBALI KATIKA KITUO CHA HIYARI

Diwani Viti Maalum Kata ya Chang'ombe Temeke,Mwanakombo Mwinyimbegu katika picha ya pamoja na watoto hao kabla ya kukabidhi msaada h...


Diwani Viti Maalum Kata ya Chang'ombe Temeke,Mwanakombo Mwinyimbegu katika picha ya pamoja na watoto hao kabla ya kukabidhi msaada huo.
Diwani Viti Maalum Kata ya Chang'ombe Temeke Mwanakombo Mwinyimbegu (mwenye kitambaa chekundu kichwani) akimkabidhi msaada hiyo,Shukuru Saidi mara alipofika katika Kituo cha Hiyari ambapo alitowa vitu Mbalimbali ikiwemo Mchele na Sukari.

Diwani Viti Maalum Kata ya Chang'ombe Temeke,Mwanakombo Mwinyimbegu akimkabidhi  baadhi ya msaada hiyo Mtoto Jamila Kibaja ambaye anasom Shule ya Msingi Mgulanilani Jijini Dar es Salaam


Diwani Viti Maalum Kata ya Chang'ombe Temeke Mwanakombo Mwinyimbegu akisunguma na wanahabari baada ya kutowa Msaad a hiyo katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Hiyari
Moja wa watoto hao,Fatuma Chitanda (17) anayesom katika Shule ya Sekondari ya Wailes akitowa shukrani kwa Diwani huyo na kumuombea azidi kuwakumbuka,wamejisikia faraja baada ya Diwani huyo kufika Kituoni hapo na alisema anaomba na wengine wazidi kuwapa faraja japo hata kuwatembelea nakujuwa changamoto zinazo wakabili zikiwemo na ufinyu wa eneo kwani hata pakuchezea hawana. 

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: DIWANI VITI MAALUM WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) ATOA MSAADA WA VITU MBALIMBALI KATIKA KITUO CHA HIYARI
DIWANI VITI MAALUM WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) ATOA MSAADA WA VITU MBALIMBALI KATIKA KITUO CHA HIYARI
https://1.bp.blogspot.com/-kqNp41U_ZpI/WW4bk36fbAI/AAAAAAAAal4/JRfuxvqPMUQybHTcS9DplRxos_LVv7olACLcBGAs/s640/DSC_5782.JPG
https://1.bp.blogspot.com/-kqNp41U_ZpI/WW4bk36fbAI/AAAAAAAAal4/JRfuxvqPMUQybHTcS9DplRxos_LVv7olACLcBGAs/s72-c/DSC_5782.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/diwani-viti-maalum-wa-chama-cha.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/diwani-viti-maalum-wa-chama-cha.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy