F YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO JUNI 13, 2017 | RobertOkanda

Tuesday, June 13, 2017

YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO JUNI 13, 2017
unnamed
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Juni 13, 2017
1
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 13, 2017.
2
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dk Khamis Kigwangalla akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 46 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 13, 2017
3
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Engineer Edwin Ngonyani akifuatilia jambo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dk Suzan Kolimba hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 13, 2017.
4
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Ajira na Vijana Mhe. Anthony Mavunde akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 13, 2017.
6
Waziri waNchiOfisiya Waziri MkuuSera ,Bunge,Kazi,Vijana,AjiranaWatuwenyeUlemavuMhe.JenistaMhagamaakizungumzajambonaMbungewaMtamaMhe.NapeNnauyekatikakikao cha 46 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Juni 13, 2017.  7
Mbunge wa Viti maalum (CCM) Mhe. FatmaToufiq akiuliza swali katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 13, 2017
8
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akiwa katika picha ya pamoja na wanakwaya wa Furahini K.K.K.T kutoka Ilongero-Mijuhu, mkoani Singida kwenye viwanja vya  Bungeni mjini Dodoma.
10 unnamed
Mbungewa Viti maalum (CCM) Mhe. Ritta Kabati akiuliza swali katika kikao cha 46 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Juni 13, 2017.

0 comments:

Post a Comment