NAKURU ALL STARS WAJIFUA KUMKABIRI MNYAMA SIMBA KESHOKUTWA SPORTPESA SUPER CUP UWANJA WA UHURU

 Wachezaji wa timu ya Nakuru All Stars ya Kenya wakiwa katika mazoezi ya pamoja katika Uwanja wa karume jijini Dar es Salaam, jioni ya le...

 Wachezaji wa timu ya Nakuru All Stars ya Kenya wakiwa katika mazoezi ya pamoja katika Uwanja wa karume jijini Dar es Salaam, jioni ya leo Juni 4, 2017  kujiandaa na michuano ya 'SportPesa Super Cup' inayoanza kutimua vumbi kesho Juni 5 kwenye Uwanja wa Uhuru jijini, ambapo mechi ya kwanza itakuwa ni kati ya Singida Utd na AFC Leopards, mechi ya pili itakuwa ni kati ya wenyeji Yanga na Tusker Fc na Juni 6 mchezo wa kwanza utakuwa ni kati ya Simba vs Nakuru All Stars na mchezo wa pili utakuwa ni kati ya Gor Mahia Vs Jang'ombe Boys FC.
 Wachezaji wa nakuru All Stars wakishuka katika gari lao walipowasili uwanja wa Karume kuanza mazoezi, leo jioni.


 Mazoezi yakiendelea. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 Daktari wa timu akimchua mchezaji misuri kabla ya kuanza mazoezi...
 Dua na maelekezo kabla ya kuanza mazoezi...
 Mazoezi ya viungo.
 Wachezaji wakiapasha misuri moto
 Makipa wa timu hiyo wakipasha misuri moto.


COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NAKURU ALL STARS WAJIFUA KUMKABIRI MNYAMA SIMBA KESHOKUTWA SPORTPESA SUPER CUP UWANJA WA UHURU
NAKURU ALL STARS WAJIFUA KUMKABIRI MNYAMA SIMBA KESHOKUTWA SPORTPESA SUPER CUP UWANJA WA UHURU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEivChatjS5uoBNg3t7so2km4BtsPp_OwhoUeCXd6BOuYOgZxznrtyp2cWYcLIbvrNFfm8EMgYuvQYdnbMKkD_5CAMzA5LARD-CjspoGzmSqCPGduICYbaORNMkyoKZwykK6FHFPlPGiok8/s640/22.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEivChatjS5uoBNg3t7so2km4BtsPp_OwhoUeCXd6BOuYOgZxznrtyp2cWYcLIbvrNFfm8EMgYuvQYdnbMKkD_5CAMzA5LARD-CjspoGzmSqCPGduICYbaORNMkyoKZwykK6FHFPlPGiok8/s72-c/22.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/nakuru-all-stars-wajifua-kumkabiri.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/nakuru-all-stars-wajifua-kumkabiri.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy