Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah akiongoza kikao cha Menejimenti ya Utumishi wa Bunge kilichofanyika leo Ukumbi wa Spika...
Katibu
wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah akiongoza kikao cha Menejimenti ya
Utumishi wa Bunge kilichofanyika leo Ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.
Wajumbe
wa kikao cha Menejimenti ya Utumishi wa Bunge wakimsikiliza Katibu wa
Bunge, Dkt. Thomas Kashililah akizungumza katika kikao hicho
kilichofanyika leo Ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
COMMENTS