Baadhi ya wafanyakazi wapya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC) wakiwa na furaha katika hafl...
Baadhi
ya wafanyakazi wapya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC) wakiwa na
furaha katika hafla ya kuwakaribisha iliofanyika makao makuu jijini
Arusha.
|
|
Wafanyakazi
wapya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, (EAC) wakijitambulisha katika
hafla ya kuwakaribisha iliofanyika makao makuu jijini Arusha. |
|
Mmoja wa wafanyakazi wa EAC,Beata Mukabaranga(kushoto)akikaribishwa na kupokelewa na msimamizi wake katika eneo la kazi. |
|
Mratibu
wa Habari katika Sekretariat ya EAC, Florian Mutabazi(kushoto),Afisa
Habari Mwandamizi wa bunge la Eala, Bob Odiko na wadau wengie wakiwa
katika hafla ya kuwakaribisha wafanyakazi wapya wa jumuiya hiyo. |
|
Mkurugenzi mpya wa Miundombinu wa EAC, Dkt. Kamugisha Kazaura akitoa neno la shukrani |
|
Wadau wa EAC wakipata mapochopocho |
COMMENTS