JK, MWINYI WAONGOZA MAMIA KUMZIKA BALOZI CISCO MTIRO

Rais Mstaafu wa awamu ya nne Mhe. Dk. Jakaya Kikwete akiweka mchanga kaburini wakati aliposhiriki katika ...




1
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Mhe. Dk. Jakaya Kikwete akiweka mchanga kaburini wakati aliposhiriki katika mazishi ya marehemu Balozi Abdul Sisco Mtiro yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu  jijini Dar es Salaam leo Juni 7, 2017. Rais mstaafu Mwinyi na viongozi wengine wa juu wasataafu wa serikali ya awamu ya nne na mamia ya wakazi wa Dar es Salaam, walishiriki mazishi hayo. Balozi Mtiro alifariki Jumatatu iliyopita kwenye hospitali ya Agha Khan jijini Dar es salaam kwa maradhi ya kifua, kwa mujibu wa familia yake. (PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
 
 
2
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi akiweka mchanga kaburini wakati aliposhiriki katika mazishi ya Marehemu Balozi Sisco Mtiro yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu  leo mchana na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali na wananchi Marehemu Balozi Mtiro alifariki Jumatatu iliyopita kwenye hospitali ya Agha Khan jijini Dar es salaam.
3
Mtoto wa Marehemu Omari Sisco Mtiro akiweka mchanga kaburini wakati aliposhiriki katika mazishi ya Marehemu Balozi Sisco Mtiro yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu  leo mchana na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali na wananchi.
4
Waziri Mkuu mstaafu Mzee Salim Ahmed Salim akiweka mchanga kaburini wakati aliposhiriki katika mazishi ya Marehemu Balozi Sisco Mtiro yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu  leo mchana na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali na wananchi Marehemu Balozi Mtiro alifariki Jumatatu iliyopita kwenye hospitali ya Agha Khan jijini Dar es salaam.
5
Jaji Mkuu Mstaafu Othman Mohamed Chande akiweka mchanga kaburini wakati aliposhiriki katika mazishi ya Marehemu Balozi Sisco Mtiro yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu  leo mchana na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali na wananchi Marehemu Balozi Mtiro alifariki Jumatatu iliyopita kwenye hospitali ya Agha Khan jijini Dar es salaam.
6
Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Davis Mwamunyange akiweka mchanga kaburini wakati aliposhiriki katika mazishi ya Marehemu Balozi Sisco Mtiro yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu  leo mchana na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali na wananchi Marehemu Balozi Mtiro alifariki Jumatatu iliyopita kwenye hospitali ya Agha Khan jijini Dar es salaam.
7
Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Mstaafu Mzee Othman Rashid akiweka mchanga kaburini wakati aliposhiriki katika mazishi ya Marehemu Balozi Sisco Mtiro yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu  leo mchana na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali na wananchi Marehemu Balozi Mtiro alifariki Jumatatu iliyopita kwenye hospitali ya Agha Khan jijini Dar es salaam.
8
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda akiweka mchanga kaburini wakati aliposhiriki katika mazishi ya Marehemu Balozi Sisco Mtiro yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu leo mchana na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali na wananchi Marehemu Balozi Mtiro alifariki Jumatatu iliyopita kwenye hospitali ya Agha Khan jijini Dar es salaam.
10
Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete mwenye miwani na Mkurugenzi wa JP Solution Juma Pinto pamoja na waombolezaji wengine wakishiriki kumzika Marehemu Balozi Sisco Mtiro kwenye makaburi ya Kisutu leo
11 12 13
Sheikh Mkuu wa  Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Al Hadi Mussa mwenye koti pamoja na waombolezaji wengine wakishiriki katika mazishi hayo.
14
Mwili wa Marehemu Balozi Sisco Mtiro ukiwasili kwenye makaburi ya Kisutu tayari kwa mazishi yaliyofanyika leo mchana.
15
Kutoka kulia ni Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete Mkurugenzi wa JP Solution Bw. Juma Pinto na Aliyewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Tabora mjini Mh. Aden Rage wakijadiliana jambo wakati wa mazishi hayo.
16
Kutoka kushoto ni  Rais Mstaafu  Mzee Ali Hassan Mwinyi, Mtoto wa Marehemu Omari Sisco Mtiro, Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete na Jaji Mkuu Mstaafu Jaji Mohamed Othman Chande wakiwa katika mazishi hayo.
17
Mzee Ali Hassan Mwinyi akipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam wakati alipowasili makaburini kwa ajili ya kushiriki katika mazishi hayo.
18
Rais Mstaafu Dk Jakaya Kikwete akiwasili makaburini tayari kwa kushiriki katika mazishi hayo.
19
Kutoka kulia ni Abas Mtemvu aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Temeke, Idd Azan aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Kinondoni na Baraka Konisaga mkuu wa wilaya Mstaafu wakijadiliana jambo wakati wa mazishi hayo.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: JK, MWINYI WAONGOZA MAMIA KUMZIKA BALOZI CISCO MTIRO
JK, MWINYI WAONGOZA MAMIA KUMZIKA BALOZI CISCO MTIRO
http://fullshangweblog.com/home/wp-content/uploads/2017/06/1-52.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/jk-mwinyi-waongoza-mamia-kumzika-balozi.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/jk-mwinyi-waongoza-mamia-kumzika-balozi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy