F CASTLE LITE UNCLOCKS VANESSA MDEE ATAPANDA JUKWAANI NA CASSPER NYOVEST, DIAMOND NA FUTURE JULAI 22 2017 | RobertOkanda

Monday, June 12, 2017

CASTLE LITE UNCLOCKS VANESSA MDEE ATAPANDA JUKWAANI NA CASSPER NYOVEST, DIAMOND NA FUTURE JULAI 22 2017


Meneja Masoko wa Bia laini Afrika Mashariki, Amou Majok (kushoto) akiwa pamoja naVanessa Mdee jijini Dar es Salaam, wakati Meneja huyo akitangaza kuhusu msanii huyo kushiriki katika tamasha la Castle Lite Unlocks litakalofanyika mwezi Julai. Kulia ni Meneja Msaidizi wa Chapa ya Bia laini, Isaria Kilewo.
Vanessa Mdee  akizungumza jambo  Meneja Msaidizi wa Chapa ya Bia laini, Isaria Kilewo mwishoni wa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam kutangaza kuhusu msanii huyo kushiriki katika tamasha la Castle Lite Unlocks litakalofanyika mwezi Julai.
Vanesa Mdee akikata keki 


Vanessa Mdee akifurahi jambo wakati wa kutangazwa kuungana na wasanii wengine katika tamasha la Castle Lite Unlocks litakalofanyika mwezi Julai.

0 comments:

Post a Comment